Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Mahakama kuu Ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo tarehe 10/10/2016 imetoa ushindi kwa Chama cha Wananchi (CUF) kwa kutoa kibali cha kisheria kwa chama kuwasilisha ndani ya siku 14, kesi ya kuiomba mahakama kutengua maamuzi batili ya Msajili wa vyama vya Siasa nchini, kwani maamuzi hayo batili yametengua maamuzi halali ya vikao halali vya chama.
Mawakili wa CUF wakiongozwa na Mhe. Juma Nassor, Mhe. Daimu na Mhe. Hashim Mziray wamewaahidi wanachama wa CUF nchi nzima kwamba wataifungua kesi husika ndani ya wiki hii.
Kwa kawaida, uamuzi wa leo wa Jaji Munisi huweza kufanywa upande mmoja (EXPARTE) kama ilivyofanyika.
Habari hii imetumika kwenye Kipindi cha JamiiLeo kinachorushwa kila siku jioni katika Channel ya JamiiForums kwenye mtandao wa YouTube.
Kuona kipindi hicho angalia video ifuatayo, acha maoni yako na kisha Subscribe kwenye Channel ya JamiiForums.