Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Jaji wa mahakama kuu Tanzania Mhe.Panterin Kente amemwachia huru Abdul Nondo kwenye hukumu ya rufaa iliyokatwa na jamhuri dhidi ya maamuzi ya mahakama ya hakimu mkazi Iringa yaliyompa ushindi katika kesi ya kudaiwa kujiteka na kutoa taarifa za uongo kupitia mitandao ya kijamii.
====
Mahakama Kuu kanda ya Iringa imemuachilia huru aliyekuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa wanafunzi wa Vyuo vikuu Abdul Nondo baada ya kukutwa hana hatia katika kesi ya Rufaa iliyokatwa na Upande wa Jamuhuri baada ya kutoridhishwa na Hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi 2018.
Zaidi, soma
====
Mahakama Kuu kanda ya Iringa imemuachilia huru aliyekuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa wanafunzi wa Vyuo vikuu Abdul Nondo baada ya kukutwa hana hatia katika kesi ya Rufaa iliyokatwa na Upande wa Jamuhuri baada ya kutoridhishwa na Hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi 2018.
Zaidi, soma
Jamhuri yakata rufaa Mahakama Kuu Mkoani Iringa kuhusu Kesi ya Abdul Nondo
Leo tarehe 8 Mei 2019, Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania THRDC, umepata taarifa za kuwepo kwa rufaa ya Serikali dhidi ya maamuzi ya Mahakama kuhusu kesi ya aliyekua Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania, Ndugu Abdul Nondo. Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania imekata...
www.jamiiforums.com
Iringa: Mahakama ya Wilaya yamwachia huru Abdul Nondo baada ya kutomkuta na hatia
Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa leo itasoma hukumu ya kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi #Tanzania (TSNP), Abdul Nondo. Katika kesi ya msingi, Nondo anakabiliwa na makosa mawili ya kudanganya kuwa alitekwa, na kutoa taarifa za uongo, aliyoyatenda Machi 7, 2018. Mliopo iringa...
www.jamiiforums.com
Jeshi la Polisi: Abdul Nondo alijiteka na kujisafirisha mwenyewe mpaka Iringa. Ladai alifuata mapenzi
Jeshi la polisi leo limeongelea uchunguzi wake kuhusu mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam aliyedaiwa kutekwa, Abdul Nondo kwamba alitekwa na watu wasiojulikana, taarifa ambayo ilizua taharuki kwenye mitandao ya kujamii. Kamanda Mambosasa amesema walifungua shauri la kuchunguza na kubaini...
www.jamiiforums.com