Mahakama Kuu yabatilisha Vifungu vya Sheria vinavyowapa mamlaka Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi

Je
Mmeweka "alama kwenye taifa letu," Najua Fatma yupo, huyo Bob bado yupo au alishaondoka?

Hii ni hatua ndogo sana, hata kama ni hatua nzuri kuelekea kwenye chaguzi huru na za haki. Mda unakwenda mbio sana, marekebisho mhimu kwenye taratibu za uchaguzi yanatakiwa je litawezekana?
 
Kama unaamini sirikali yetu watu kibao wahusika kibao wapo kusoma uzi huu naomba tujuane aiseee:p:p:p:D:D:D:D:D:D:D
 
Sidhani kama huu uamuzi wa mahakama utadumu kwa kweli.
Tuliyajua haya.
Screenshot_20190513-164952_Facebook.jpeg
 
Ajabu ya dunia eti Serikali inakata rufaa. Hivi serikali wanapata hasara gani wakurugenzi wakiondolewa katika kusimamia/ Kuendesha uchaguzi? Nini hasa watakosa? Haya ni mapungufu ya muda mrefu na yamelalamikiwa sana ni bora kukibali maamuzi ya Mahakama. Si wanasema fuateni taratibu na sheria? Ndio hivyo sasa zimefuatwa sasa ya nini kuendeleza malumbano wakati wanajaua wananchi hawataki?
 
Sandinistas wewe kama mpiga kura wa nchii hii, hivi unaweza ukawapigia kura wapinzani kama hao akin Mh. Lissu au Mh. Mbowe au yule Mdude? ambao hawana sera zaidi ya kutukana. Nadhani wapinzani wa nchi hii wana miaka mingi sana kujibehave as watawala, otherwise ni CCM tu itaendelea kushika dola maana ndicho chama pekee chenye mfumo wa kiutawala na unaokubalika na wapiga kura wenye akili, yaani huwezi kumpigia kura mtu kama Zitto ambaye kila kukicha anauza siri za nchi, msaliti ambaye anatamani hela za wazungu masaa 24/7. So hata kama aje nani kuwa msimamizi, CCM itashinda uchaguzi

Umetoka nje ya mada kabisa. Mjadala ulioko hapa siyo wa kujadili watu: Lissu, Mbowe au Mdude. Huu ni mjadala wa katiba ya nchi sheria ya uchaguzi ma mifumo ya chaguzi huru.
 
Back
Top Bottom