Mahakama Kuu ya Tanzania kuzuia malipo kwa DOWANS? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahakama Kuu ya Tanzania kuzuia malipo kwa DOWANS?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Fareed, Jan 3, 2011.

 1. F

  Fareed JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Source: THISDAY, Jan 3-9 issue

  Hii story inadhihirisha wazi kuwa Serikali ya Tanzania kumbe ina kila sababu ya kutowalipa Dowans. Tatizo ninaliona mimi ni kuwa Othman wa Usalama wa Taifa anaweza kumuagiza mdogo wake Othman Chande Jaji Mkuu amalize issue na mahakama kuu waruhusu Dowans walipwe fasta.
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Hapa ndio tutakapojua wanasheria wetu kama they are worth their salt..... they have been very dissapointing until now, this is make or break for them
   
 3. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  swala mbona liko wazi kabisa, hizo pesa zinakwenda CCM ,wale jamaa wa Dowans ndio walioiweka serikali madarakani, sasa mnataka wasilipwe fedha zao? wasingekuwa hao basi kulikuwa hakuna haja ya kulipa mabilioni ya shilingi kwa kampuni hewa.
   
 4. b

  buckreef JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2011
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Uzuri wa Watanzania, kwa chini chini kila mtu anajua sheria. Wakipewa kesi hao wanavurugwa kichwa chini.

  Mbona hizi arguments ndio hizo hizo zimepigwa mweleka na ICC?

  Pia wakati wote sheria za juu kama vile ICC zinakuwa juu ya sheria za nchi husika. Kama tume sign kuitambua ICC itakuwa ngumu sana kusema maamuzi yao yanapinga sheria ya nchi.

  Hao wanasheria wanaoshauri hivyo kwanini wanajificha? Watoke nje tuwakabidhi hiyo kesi. Ila baada ya hapo deni likiongeze watatakiwa kuwajibika.

  Kila mtu anajifanya anajua sheria lakini kila mwaka tunafungwa magoli.
   
 5. F

  Fareed JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Iko wazi kwenye katiba kuwa the laws of Tanzania supersede any foreign agreement or law. For the Tanzania High Court to approve any arbitration agreement/ruling, it must be in conformity with Tanzanian laws; otherwise, such a ruling would be declared inapplicable/illegal in Tanzania.

  Kamwe sheria, hukumu au mikataba ya nje haiwezi kuwa juu ya sheria za Tanzania. Umesoma wapi sheria wewe? Kwa nini mnataka kulazimisha Dowans walipwe fedha za wavuja jasho? Kuweni na huruma na nchi yenu, ebo?!
   
 6. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  I like your anger, its shows that you care.... lakini hizi Hasira zetu tuzielekeze kwa hawa mafisadi sio wenyewe kwa wenyewe.... nadhani we are fighting the same battle
   
 7. T

  The Informer Senior Member

  #7
  Jan 3, 2011
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa lugha nyepesi, hukumu ya ICC inapingana na sheria ya Tanzania ya manunuzi ya umma (Public Procurement Act of 2004) ambayo serikali iliitumia kuvunja mkataba wa Richmond/Dowans na TANESCO kwa kuwa ulitokana na mchakato wa tenda uliokwenda kinyume na sheria.

  Hii ina maana kuwa Mahakama Kuu haiwezi ku-entertain hukumu ya ICC kwani inapingana na sheria ya Tanzania. Ni suala simple la kisheria.

  Iwapo Rostam Aziz atamweka sawa jaji mmoja wa Mahakama Kuu apitishe hii hukumu haramu ya ICC, bado kuna uwezekano raia yeyote mwema akapinga uamuzi huu wa Mahakama Kuu na kuweka zuio (injunction) Dowans wasilipwe ili hili suala lipelekwe Mahakama ya Rufani.
   
 8. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Jee huyo RA hana uwezo wa kuwaweka sawa mahakimu wa Mahakama ya Rufaa?
   
 9. F

  Fareed JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kama Rostam kaingia mpaka Ikulu ya nchi, I suspect anaweza kuwaweka sawa pia majaji wa Mahakama ya Rufaa directly or indirectly kupitia wakubwa wao serikalini. Hatma ya hili suala la ICC ruling na jinsi litakavyo shuhulikiwa na mahakama za Tanzania will say a lot about the state of the Tanzanian judicial system.
   
 10. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mkuu kama kuna clause katika sheria za Tanzania kuruhusu High court kureject hiyo rulling basi nawashauri waireject fasta ila kama hakuna hiyo basi naona kama ni siasa kwani maneno ya mtu ni kutupa matumaini tu watanzania ambao tunasikitikia kodi zetu kuliwa na wajanja tu hapa mjini.
   
 11. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Nyerere aliwawezesha waTanzania wapate uhuru kutoka kwa Wakoloni na sasa tumeingia katika himaya ya UFISADI yenyewe uwezo mkubwa wa kifedha za ubaradhuli, tutajikomboajeee?
   
 12. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #12
  Jan 3, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,519
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Mkuu kama vile nakuona jinsi ulivyokasirika. Aluta continua
   
 13. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #13
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Hivi hawa wanasheria wa-Tanzania wanafanya nini???, hii sio issue ya mtu mmoja inabidi wote kuumiza vichwa ili tuweze kupata loopholes, am sure there is nothing like open and close case..... if you look hard enough lazima kuna kipengele kitapatikana cha kuweza kujinasua kwenye hii issue, au hawa jamaa hawawezi ku-work for free... mpaka wapelekewe kesi na mshiko??? Jamani hivi hakuna any patriotism??
   
 14. S

  S.M.P2503 JF-Expert Member

  #14
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 463
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Hata hao Tanesco.. Hivi nani aliyewalazimisha kumkubali Dowans? Mkataba ulikuwa kati ya Richmond na Tanesco.. sasa leo Richmond wanakwambia kwamba hey huyu hapa Dowans hebu mchukue afanye kazi... Mbona TANESCO hawakuwauliza hao Richmond vipi mbona mkataba ulikuwa kati yetu iweje uniletee Dowans au kampuni nyingine ya Singapore wake kunizalishia umeme? Hivi hiki ndicho kilikuwa makaubaliano yetu? Mbona swali hili hatujui kama liliulizwa? na kama liliulizwa ya nini Tanesco hawakukataa there and then and mkataba uwa umevunjwa pale pale... Wao (Tanesco) wakajinyamazia kama Ma-***** fulani hivi na Dowans akakabidhiwa mfupa uliomshinda fisi... tangu lini Mbwa (MALIPO)akauweza?

  kUHUSU hiyo registartion ya Award mbona inacheleweshwa sana kuandikishwa si wahusika waiandikishe basi (ASAP) ili tujue mbivu na mbichi kama tunalipa au la maana hii habari imebaki kuwa ya magazetini tu... na kuna msemo usema Justice delayed is justice denied.. yote yaanikwe ili tujue ukweli...

  Na hata huko mahakamani wakipewa ki-note tu na executive brach kwamba hii kitu ni national interest tafuteni namna ya kulipa au kutolipa mahakama itatafuta tu njia maana majaji huwa ni watu mahiri katika kujau technicalities za mambo.. sidhani kama ruling ya watu wawili yaweza kutokukoselewa na jopo la majaji waliobobea kwa manufaa ya Tanzania... labda hao majaji wetu wasiwe na uchungu na mali za wananchi achalia mbani maliza serikali...

  Mwisho kuna hapa panaposema kwamba "If TANESCO is forced to pay Dowans on the basis of the ICC ruling, just as it was forced to sign the Richmond/Dowans contract, this company will collapse." kwa nini wasiache ikolapse au wanajua wananchi wataingia barabarani na kumuondoa Kikwete madarakani maana ametajwa kuhusika na Dowans... si waache basi iko-lapse ili iujue namna ya kujikwamua na madeni?
   
 15. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #15
  Jan 3, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mkuu,

  Ni vizuri ukakasirika at the right time and place otherwise unaweza kukasirika na pia ukajikuta unalipa pesa na interest juu. Haya masuala ni ya kuendea kwa utaratibu na umakini wa hali ya juu otherwise tutajikuta tunalia kila siku. Kama hiyo clause ipo tunawaomba waisimamishe hii kitu otherwise we have no choice. Kuhusu kwenda arbitration mkuu ukisoma ni kwamba ukienda kule umekubaliana na sheria zao na maamuzi ya Tribunal ni final hakuna nafasi ya kuappeal. Sasa walioenda huko walishajiingiza kifungoni kwa kukubali kufungua kesi huko (kama ilikuwa ni dili wakijua tanesco itashindwa au urahisi nobody knows).
   
 16. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #16
  Jan 3, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,134
  Trophy Points: 280
  hii ni ishu ya lowasa na rostamu unafikiri kikwete anaweza kufanya kitu chochote hapo....acha tuendelee kuomboleza
   
 17. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #17
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kweli mkuu ndio maana nasema right time ya decision ni sasa; wanasheria wote na experts wa mikataba inabidi kukaa chini and once and for all ijulikane kama tunasuka au tonanyoa sababu isije kuwa three years from now tunaambiwa inabidi tulipe three times the amount which we were not even supposed to pay in the first place. Ndugu yangu watu hatuna uchungu kabisa na hii nchi.... wajukuu zetu wataona aibu kuwa na mababu kama sisi... am afraid you and me included as well..... (samaki mmoja akioza......)
   
 18. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #18
  Jan 3, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Iyo ela itasaidia CCM kurecover from the billions of money spent kwa election
   
 19. F

  Fareed JF-Expert Member

  #19
  Jan 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Pamoja na kwenda ICC, The Arbitration Act inasema kuwa Mahakama ya Tanzania ndiyo yenye uamuzi wa mwisho iwapo maamuzi ya ICC yatekelezwe au la. Hivyo mwenye final say kwenye hili jambo ni the High Court of Tanzania na si ICC kwani ruling ya ICC lazima iwe registered kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania na mahakama iseme kama malipo haya ni halali au siyo halali na kuyakataa. Kama ilivyokuwa quoted kwenye hii habari ya THISDAY, sheria ya Tanzania inasema:

  "Where an arbitrator or umpire has misconducted himself or an arbitration or award has been improperly procured, the court may set aside the award."
   
 20. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #20
  Jan 3, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,407
  Likes Received: 3,738
  Trophy Points: 280
  Mi nionavyo hii mahamaka inataka kupitisha muda tu.......kwa sasa akili zetu hazikubaliani na jambo hili (kama msiba vile) ila likishakaa vichwani mwetu muda mrefu sana......say 3 years .........tutakuwa tumeshazowea............... na tutaona ni sawa tu kulupa.......... NI DANA DANA TU INACHEZWA..KULIPA KUPO PALEPALE.
   
Loading...