Mahakama Kuu ya Malawi Imetengua agizo la Rais Joyce Banda

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Mahakama Kuu ya Malawi Imetengua agizo la Rais Joyce Banda la kusimamisha Matokeo ya Uchaguzi Mkuu.

Hii imetokea muda mfupi tu baada ya Rais Banda kutangaza kwamba Uchaguzi huo utarudiwa baada ya miezi mitatu (Siku 90).

Mwanasheria Noel Chalamanda akiiwakilisha Tume ya Uchaguzi ya Malawi (Malawi Electroral Commission) na Mwanasheria Patrick Mpaka wa Malawi Law Society, walikimbilia Mahakamani.

Mahakama Kuu ya Malawi Imesema, kulingana na Katiba ya Malawi, Rais Banda hana mamlaka ya kutengua Uchaguzi Mkuu, na Mahakama hiyo Imeitaka Tume ya Uchaguzi (MEC), kuendelea kutoa Matokeo ya Uchaguzi huo kama kawaida..

NB:Huu ndio umuhimu wa Katiba iliyo bora. Nawasilisha.
 
Miafriaka bwana ................ Ni halali na haki kabisa wazungu wakitudharau na kutucheka!
 
Anajihisi bado ni rais... Pumbav kabisa angeshinda yeye angerudia uchaguzi? Miafrika bhana...
 
Mama mchemkaji huyu. Urais aliupata kibahati sasa anaona yeye ndio yeye! Ataichafua nchi sasa hivi...
 
Amenikumbusha Gbabo(?) wa Ivory Coast alikuwa smoked kwenye shimo na ki singlendi chake Kisa .... kung'ang'ania madaraka kama huyu Joyce Banda. Ukitaka kujua AU is a hopeless organization itakaa kimya kubariki huu UHUNI wakati EU and the likes zikikemea.
 
Chadema mnaona Mama yenu anavyoaibika?
Chama cha Mutharika chenye urafiki na CCM kinazidi kupeta.
 
Hivi yule Rais dume wa nchi ya Baka-Haramu iliokuwa akimtumia ndege na nauli mara kwa mara, baada yeye mwenyewe kuanza kuchagua midume pale tu alipoingia kwa bahati mbaya katika chumba Kuu ya Mawali, je alimpa huduma nyengine au kaishia kupokea vya bure?
 
Miafriaka bwana ................ Ni halali na haki kabisa wazungu wakitudharau na kutucheka!

huyu mama sio amejidhalilisha, ia ametudhalilisha waafrika sote...ila mbaya zaidi kinachosikitisha ni kuona kiwango kikubwa cha kushindwa kwa vyombo muhimu vya usalama wa nchi kumdhibiti huyu mwehu. hawiwezekani mtu afanye mambo kanabkwamba anaongoza klabu ya walevi alafu vyombo muhim vya usalama vishindwebkumdhibiti...mtu anataka kuiingiza nchi katika machafuko kwa kutoa maamuzibya kiwendawazimu kwa tamaa na mihemko ya madaraka binafsi.

hiki ni kituko cha aina yake

drama of shame
 
Nautetea uafrika wangu.
TUNAYO HAKI YA KUKOSEA KAMA RACE.
Joyce hawakilishi waafrika.

ni kweli awakilishi waafrika,,,,ila tukiri tu kwamba anawakilisha tabia za viongozi wengi afrika..kituko alichokifanya JB ni reflection ya namna viongozi wetu wanafikiri. ni reflection ya k7wango cha ukosefu wa hekima ktknkufanya maamuzi muhim yanahusu maisha ya watu na ustawi wa nchi.
historia itamkumbuka hivyo...kimsingi alichokifanya ni UHAINI...ni uamuzi wa kuipindua katiba ya wananchi

drama of shame
 
Nchi huru lazima ifuate sheria..huyu mama alichukua nchi kwa bahati mbaya baada ya kifo cha Rais wao...kama kura hazikutosha arudi kijijini kwao akalime
 
Back
Top Bottom