Mwembebasha
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 1,425
- 404
Yap. Inawezekana ni maarafiki ila wenzenu wamewazidi uwezo wa kufikiri.Chadema mnaona Mama yenu anavyoaibika?
Chama cha Mutharika chenye urafiki na CCM kinazidi kupeta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap. Inawezekana ni maarafiki ila wenzenu wamewazidi uwezo wa kufikiri.Chadema mnaona Mama yenu anavyoaibika?
Chama cha Mutharika chenye urafiki na CCM kinazidi kupeta.
Nchi huru lazima ifuate sheria..huyu mama alichukua nchi kwa bahati mbaya baada ya kifo cha Rais wao...kama kura hazikutosha arudi kijijini kwao akalime
Mahakama Kuu ya Malawi Imetengua agizo la Rais Joyce Banda la kusimamisha Matokeo ya Uchaguzi Mkuu.
Hii imetokea muda mfupi tu baada ya Rais Banda kutangaza kwamba Uchaguzi huo utarudiwa baada ya miezi mitatu (Siku 90).
Mwanasheria Noel Chalamanda akiiwakilisha Tume ya Uchaguzi ya Malawi (Malawi Electroral Commission) na Mwanasheria Patrick Mpaka wa Malawi Law Society, walikimbilia Mahakamani.
Mahakama Kuu ya Malawi Imesema, kulingana na Katiba ya Malawi, Rais Banda hana mamlaka ya kutengua Uchaguzi Mkuu, na Mahakama hiyo Imeitaka Tume ya Uchaguzi (MEC), kuendelea kutoa Matokeo ya Uchaguzi huo kama kawaida..
NB:Huu ndio umuhimu wa Katiba iliyo bora. Nawasilisha.

Miafriaka bwana ................ Ni halali na haki kabisa wazungu wakitudharau na kutucheka!
Hii issue sijui kwenye rasimu ya katiba mpya wameielezeaje. Mimi napingana sana na utaratibu uliopo kuwa mgombea urais akitoka upande huu wa muungano mgombea mwenza atoke upande mwingine. Haitofautiani sana na ujinga mwingine ulioletwa na tume ya Warioba kuwa wabunge wa majimbo watakuwa wawili wa jinsia tofauti kwa kila jimbo.Huo ndio umuhimu wa kuwa na tume huru ya uchaguzi na mahakama huru. Yaani huyu mama hajui mipaka ya madaraka yake!?hata kuuliza kashindwa? ndio tuone sasa shida ya Rais kuchagua mgombea mwenza kihiyo!Mama sio presidential material kabisa..
Malaya ni malaya tu....[/QUO
Hili neno umelisema kwa sababu huyu muhusika ni mwanamke umekosea sana japo hata mama yako umemjumuisha humohumo.Malaya ni malaya tu....[/QUO
Huyu ni lazima atakuwa ni gamba wale wa buku 7; hawa wana laana ya matusi na ndio maana watakuwa watumwa maisha yao yote!!!!