PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,454
Mahakama Kuu ya Malawi Imetengua agizo la Rais Joyce Banda la kusimamisha Matokeo ya Uchaguzi Mkuu.
Hii imetokea muda mfupi tu baada ya Rais Banda kutangaza kwamba Uchaguzi huo utarudiwa baada ya miezi mitatu (Siku 90).
Mwanasheria Noel Chalamanda akiiwakilisha Tume ya Uchaguzi ya Malawi (Malawi Electroral Commission) na Mwanasheria Patrick Mpaka wa Malawi Law Society, walikimbilia Mahakamani.
Mahakama Kuu ya Malawi Imesema, kulingana na Katiba ya Malawi, Rais Banda hana mamlaka ya kutengua Uchaguzi Mkuu, na Mahakama hiyo Imeitaka Tume ya Uchaguzi (MEC), kuendelea kutoa Matokeo ya Uchaguzi huo kama kawaida..
NB:Huu ndio umuhimu wa Katiba iliyo bora. Nawasilisha.