Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

Acha udini wewe kima. Hujui kuwa nchi ikiongozwa na hao nduguzenu ndo huwa inanuka madawa ya kulevya na wizi kila pahala. Unataka kutuaminisha kuwa dini ndo inaongoza au mtu mwenyewe vip kuhusu JK alikuwa kiongozi mzuri?
Duh!

Povu linawatoka kinoma kwa jamaa kusema ukweli
 
Mahakama Kuu, imebatilisha hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kesi ya Jinai iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake 7 na kuamuru warejeshewe fedha walizolipa kama faini, kiasi cha Sh.350 milioni. Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Irvin Mgeta. View attachment 1829233
Wakati wa magufuli hata mahakama hazikuwa huru kwa kweli huyu jaji mkuu anapaswa ajiuzulu amwachie mama ateuwe mtu mpya aliye huru.
 
Jk alikua baba wa demokrasia. Alikua kiongozi mzuri mno.
Fahamu jk alkua mwanajeshi, angetaka kuongoza nchi kibabe angeweza tu, lakini alikua mpole na mcheshi mwenye kutaka Suluhu kwenye mambo Mengi.

Fahamu Katika uongozi wa JK mambo Mengi yalikuwa wazi, zile habari za escrow na Richmond Jakaya aliacha wananchi wazijue na wajue mambo yanayoendelea kwenye nchi yao, alkua na uwezo mkubwa sana wa kutumia ubabe kuficha zile taarifa. Mzee Kikwete alkubali kukosolewa, alkua mvumilivu mno. Aliruhusu freedom of speech.

Pamoja na uanajeshi wake aliongoza nchi kiraia, sijawahi muona kikwete kavaa magwanda ya kijeshi, au ENZI zake sikuwahi kumwona Dc akiwa amevaa magwanda ya mgambo. Nchi iliongozwa katika misingi ya kufata Sheria. Hakukua na matisho. Na akikaa pale magogoni DAIMA alkua anafkiria wananchi wake, siku zote alfikiria maisha Bora Kwa watu wake. Jakaya Kikwete alkua mwanaume na nusu.
Vijana wengi huangalia mambo kwa juu juu.

Wanachoangalia ni matokeo na sio mchakato uliopelekea matokeo hayo. Anadhani suala la Richmond lilitokea tu?? Hahahaahahha

JK was and is the best president ever
 
Odds kubwa Mkeka umeliwa na upande wa Kaki, kijani huku wamechezea wameachwa Uchi.
Aamshwe
 
.... Mama ana kazi sio ya kitoto; kuirudisha nchi kwenye mstari sahihi wa utawala bora ana kibarua kigumu sana. Huyu sasa ndiye wa kumwombea kweli kweli Mungu amjalie afya ya mwili, hekima na busara za kuwaongoza watu wake. Kila atokapo, aingiapo, na kila atendalo likapate kibali toka Kiti cha Enzi.
Amina
 
'laha' nasema 'laha' sio RAHA-ya Tanzania kila mtu anashina magoli yake,
Kila kiongozi kiingia anatengeneza mambo yake, 'laha mpak basi.
 
Back
Top Bottom