Mahakama Kuu Pakistan yamvua madaraka W#aziri Mkuu kwa kudharau mahakama. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahakama Kuu Pakistan yamvua madaraka W#aziri Mkuu kwa kudharau mahakama.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Jun 19, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Leo Mahakama Kuu ya Pakistan imemuondoa sifa Yusufu Raza Gilani kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo kwa kosa la kudharau mahakama. Mahakama ilikuwa imemuamuru Waziri Mkuu huyo kufungua mashitaka ya ufisadi dhidi ya Rais wa nchi hiyo Asif Ali Zardari, na kuyapuuza.

  Jee hapa tutaweza kitu kama hicho?
   
Loading...