Mahakama Kuu kuanza kusikiliza kesi ya mauaji inayomkabili msanii Elizabeth Michael

Hii case ilikuwa ina tajwa na kupigwa kalenda kwa kuwa upelelezi ulikuwa haujakamilika.....case za mauaji huwa hazifi mpaka maamuzi yatolewe....
Lakini kuanza kwa hii case kutamuharibu Lulu kisaikolojia kabisa
 
Walau nitaona aliemsababishia kifo kaka yangu nae kapata adhabu.Kumpoteza Kanumba kwa namna ile hujui tu nilivyoumia,Lulu nae alipe kifo cha Kanumba.
kanumba alichanganya pombe na Viagra ili amkomoe lulu,halaf wakitoka hapo waende band huku lulu akisikilizia michubuko kwenye papuchi,sasa Viagra huwa haichanganywi na pombe ndo moyo ukaenda mbio akaanguka baada ya kunyonywa kibamia
 
Kifungo cha alieua bila ya kukusudia huwa ni mwaka mmoja mpaka miaka 10.Lulu haipingiki kuwa aliua bila ya kukusudia,aombe tu sana Mungu
 
Lazima kaende jela haka kaisrael mtoa roho za wanaume , Majizo nae hana siku nyingi tutamuimbia parapanda italia
 
kutunza mume hamjui alafu akienda kwa mwingine mdomo juu eti umepora
mwacheni Lulu wa watu
 
Back
Top Bottom