Mahakama Kuu Iringa imetupilia mbali pingamizi la Serikali la kupinga Mahakama hiyo kusikiliza maombi ya kuondolewa kwa amri ya TCRA kuhusu ving'amuzi

Thank Eduardo dos Santos for that. Uchumi umeanguka kutoka $137 (2013) mpaka $90 billion leo. Mafuta bei chini, main export. Hakopesheki. Amesha default. Saviour wake ni Mchina.

Hawawezi kumlipa kwa mafuta tu. Wanamlipa kwa kukabidhi tender za ujenzi kwa makampuni 450 za Kichina.

You're right about their political instability. Pesa nyingi ilipotea kwenye gharama za vita.
But who is to blame for these extrem debt? China?

Or African leaders who are enough educated.
 
Kazi kweli kweli kwani tatizo ni kuzitoza hizo chanel za ndni au tatizo hizo chanel kuwa free
 
Wanawakilisha malalamiko ya watazamaji ambao hatujalalamika wala kukwazwa. Yani ujinga mtupu.
 
But who is to blame for these extrem debt? China?

Or African leaders who are enough educated.
African Leaders. They want both power (at all cost) and legacy. Museveni alisema matatizo ya Afrika ni viongozi kutopenda kung'atuka lakini yeye anaongoza tangu 1986 mpaka atakufa kama Rais wa Uganda.

Ningemsamehe kama angeleta maendeleo kwa wananchi wake kama madikteta wa Korea Kusini, Singapore na Chile.

Sera mbovu za biashara na serikali ya kukurupuka isiyoheshimu haki ya binadamu na kura ya mwananchi haiwezi kujenga nchi. Nchi inabaki masikini na kutegemea misaada.

Sisi tunaambiwa tuzaliane tu ili tuzidi kuwa masikini. That's the leadership we have!
 
Wabongo alieturoga kafa
Watu mnasaidiwa mnalaumu serikali
Ni kwamba matangazo ya bure,huruhusiwi kulipia,kwa nini ulipie kuona Itv?
Nao hao walioomba leseni za kuonesha kwa kulipia sheria hairuhusu kuonesha Tv za bure,wanatakiwa wabadili leseni iwe kama ya star times
Na hao wenye channel za bure,wanatakiwa wawe wana king'amuzi chao.
 
Thank Eduardo dos Santos for that. Uchumi umeanguka kutoka $137 (2013) mpaka $90 billion leo. Mafuta bei chini, main export. Hakopesheki. Amesha default. Saviour wake ni Mchina.

Hawawezi kumlipa kwa mafuta tu. Wanamlipa kwa kukabidhi tender za ujenzi kwa makampuni 450 za Kichina.

You're right about their political instability. Pesa nyingi ilipotea kwenye gharama za vita.
Doh
 
Back
Top Bottom