Mahakama kuu imetoa hati kukamatwa Nabii na Mtume Josephati Mwingira

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,890
382
Polis Kinondon wanamsaka Mwingira baada ya kubomoa Ofisi za Afrophus mwenge dsm jmosi! Source gzt uhuru
 
Polis Kinondon wanamsaka Mwingira baada ya kubomoa Ofisi za Afrophus mwenge dsm jmosi! Source gzt uhuru
Hizo kauli za wanamsaka ni za kipuuzi! Kama katoroka waseme lakini mchungaji mwenye kanisa na investment kibao mumsake? Si wanampigia simu tu njoo polisi kwisha! Wanaosakwa ni watu wanaotoroka maeneo yao baada ya kufanya uhalifu! Mwingira amejaa tele waende wamkamate waache bla bla!
 
ah hao ndio mapolisi wetu wadanganyika,tusubiri CD nyingine ili at least waonekane wapo kwa walau kutoa news kama hizo loh
 
huyu mzee atakua ana tatizo tu..haiwezekani toka mwaka jana aandamwe na scandals tu..kunakitu ana kitafuta..
 
Wamkamate wasituambie wanamsaka! (najua kuna viji siasa vitaingia ktk issue hii subirini muone kama kuna cha maana.)
 
mkuu nimecheka ..ntajie wawili tu ntawapiga mwenyewe hiyo, T- jack.

Nabii na mtume joe devi huyu pia ni mjasiriamali mzuri tu mf ukiwa pale kwenye centre yake kisongo viti vya mbele vinalipiwa sh 10000 vya nyuma 5000 then 2000 nk leso zenye sahihi yake sh 5000 kupeleka maombi binafsi israel 100000 na kuendelea naye pia tumwite nabii?
 
inategemea ni nabii wa aina gani kwani kama ni hawa manabii wa shetani waliozagaa huku mitaani unapiga tu tanganyika jack unatupa sero


Najaribu kuvuta picha sipati - mkuu ebu weka hata skechi/picha ya hiyo Tanganyika jeki du; inaonekana ukipigwa hiyo utatembelea ncha za vidole mpaka selo.
 
Back
Top Bottom