Mahakama Kuu imemteua Jaji Joachim Tiganga kutoka Kanda ya Mwanza kuendelea kusikiliza Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake

Huyu Ni mtoto wa kada mtiifu wa CCM,mzaliwa wa mkoa waKagera wilaya ya muleba tarafa ya nshamba kata ya BIIRABO kijijji Cha Bugarama kitongiji Cha kyaibumba.tumtakie Kila heri katika jukumu zito alilopewa.

Huko mahakama kuu ni nani na nani walikaa na kukubaliana kuwa Jamaa anafaa kumalizia kesi hii, natafuta CV za wahusika zilizonyooka bado nipo gizani
 
Back
Top Bottom