ksny
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 1,693
- 1,657
Hii si kweli. Wa kwanza mlimkataa nyie na hakutaka kuwa king'ang'anizi akajiondoa. Wa pili mkasema hakutenda haki, ameamuwa kama alivyoelekezwa. Hii maana yake hamna imani naye. Kwa nini aendelee wakati mmemwambia hamna imani naye.Ujanja ujanja wa kijinga kabisa.Kila jaji akishampiga Mbowe nyundo kichwani anajifanya kujitoa.Wasichokijua ni kwamba udhalimu haujawahi kudumu.