Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

Ujanja ujanja wa kijinga kabisa.Kila jaji akishampiga Mbowe nyundo kichwani anajifanya kujitoa.Wasichokijua ni kwamba udhalimu haujawahi kudumu.
Hii si kweli. Wa kwanza mlimkataa nyie na hakutaka kuwa king'ang'anizi akajiondoa. Wa pili mkasema hakutenda haki, ameamuwa kama alivyoelekezwa. Hii maana yake hamna imani naye. Kwa nini aendelee wakati mmemwambia hamna imani naye.
 
Uzuri ni kwamba updates za kesho kila mwananchi anazo. Ili kujua kua huyu Jaji hajatenda haki kabisa kwa watuhumiwa na huenda angeendelea na hii kesi angewafunga. Hatuhitaji degree kuelewa kua Jaji Mustapha Siyani alitumika kuibeba Jamhuri kwa ukweli ulio wazi. Mimi pia kwa taaluma yangu ya sheria ingawa sifanyi uwakili nimeona haya;

1. Kuhusu kuchukuliwa maelezo nje ya muda. Polisi wanatoa sababu ya kuchukua maelezo nje ya muda kwa sababu waliondoka na Mtuhumiwa Adamoo kwenda Moshi na Arusha kumtafuta Moses Lijenje aliyetoroka, Lakini Adamoo anasema kuwa hajawahi kwenda Moshi wala Arusha zaidi ya kupelekwa Dar es Salaam. Polisi hawaonyeshi popote ikiwa waliandika kwenye Registar book kua walitoka kituoni kwenda Arusha na Moshi, Polisi hawatoi ushahidi wowote kua walienda Arusha au Moshi nani aliwaona na waliongea labda na polisi wa Moshi na Arusha, Wala hawakuonesha kua huko Moshi na Arusha waliongea na ndugu gani wa Moses Lijenje.

2. Kuhusu Adamoo kuchukuliwa Maelezo kwa kuteswa. Afande Kingai anasema walimchukua Maelezo Central Dar es salaam. Hapa Adamoo anasema wakati anateswa akitundikwa juu kama Popo na Mishikaki alikua akipigwa huku akichukuliwa maelezo ambayo alikuja kuyasaini akiwa Mbweni na wala hakupewa muda wa kuyasoma.

Wake wa watuhumiwa walisema Mahakamani kua walienda Central Polisi baada ya kuambiwa kua walishasafirishwa wakiwatafuta waume zao lakini wakaambiwa hawapo, walipewa mpaka Registar book hawakuwaona, hivi unachukuaje maelezo ya mtuhumiwa hayupo kwenye Registar book? Jaji Siyani haya yote hakuyaona? Hivi hizi dhambi anazobeba Jaji,anadhani ataishi milele kwa mateso ya hawa watu?
 
Na jaji aliemhukumu Sabaya alitumika kumsaidia nani?
Kuna wakati unapaswa kushirikisha ubongo hata robo nchi. Uovu wa Sabaya upo bayana sio wa kutafuta na tochi na ushahidi ulikua wazi hata kabla ya kushitakiwa. Sabaya ameonewa kwenye lipi? Na ashukuru jaji kampa miaka 30 badala ya 90 maana kila kosa ni miaka 30.
 
Nikikumbuka yale maneno kuna mhimili umejichimbia zaid chini hakika haya ni matokeo yake
Uzuri ni kwamba updates za kesho kila mwananchi anazo. Ili kujua kua huyu Jaji hajatenda haki kabisa kwa watuhumiwa na huenda angeendelea na hii kesi angewafunga. Hatuhitaji degree kuelewa kua Jaji Mustapha Siyani alitumika kuibeba Jamhuri kwa ukweli ulio wazi. Mimi pia kwa taaluma yangu ya sheria ingawa sifanyi uwakili nimeona haya;
 
Kuna wakati unapaswa kushirikisha ubongo hata robo nchi. Uovu wa Sabaya upo bayana sio wa kutafuta na tochi na ushahidi ulikua wazi hata kabla ya kushitakiwa. Sabaya ameonewa kwenye lipi? Na ashukuru jaji kampa miaka 30 badala ya 90 maana kila kosa ni miaka 30.
Upo bayana kwa mujibu wa nani?
 
Kiufupi hatuna mahakama. basi.
 
Wateule wengi wa Magufuli hawaaminiki ..... Halafu Maza tayari keshamhonga kwa cheo cha Ujaji Kiongozi.
 
Kuna wakati unapaswa kushirikisha ubongo hata robo nchi. Uovu wa Sabaya upo bayana sio wa kutafuta na tochi na ushahidi ulikua wazi hata kabla ya kushitakiwa. Sabaya ameonewa kwenye lipi? Na ashukuru jaji kampa miaka 30 badala ya 90 maana kila kosa ni miaka 30.
Sabaya amepata haki yake
 
Na jaji aliemhukumu Sabaya alitumika kumsaidia nani?
Sabaya kitendo cha kutamka kuwa alitumwa na mamlaka ya uteuzi, maana yake unyang'anyi aliutenda isipokuwa tu alitumwa kuutenda! Kutumwa hakuondoi kuwa alitenda, SEMA ILITAKIWA NA ALIYEMTUMA NAYE ALE MVUA KAMA ZA SABAYA. Nyerere alishawahi sema mtoa rushwa na mla rushwa wote manji ga nyanja.
 
Matumaini ya kuwa mahakamani ndiko kuliko mahali pa kukimbilia panapo dhuluma, yalizimika kikamilifu jana.

Hazipo shamra shamra, pongezi wala amsha amsha kokote kuonyesha pana haki imepatikana mahali, bali ni malalamiko na manung'uniko ya kilichotokea.

Tangu lini haki ikajificha?

Ikumbukwe shauri hili limekuwa likifuatiliwa kwa karibu na wengi japo hata kwa taabu mno.

Itoshe kusema jana ilikuwa siku mbaya sana kwa wapenda haki wote nchini.

Jana ilikuwa siku mbaya sana kwa Adamoo. Kumbe kipigo alichokipata kinyume cha utu kutoka kwa watesi wake kilikuwa ni halali yake.

Jana ilikuwa siku mbaya sana kwa Mohamed Ling'wenya, kwamba kumbe kweli duniani hakuna haki.

Matumaini ya haki yaliyochipuka upya yamezimwa ghafla.

Jana ilikuwa siku mbaya sana kwa mke wake Adamoo ajuaye sasa kuwa mahakama imebariki kuteswa kwa mumewe.

Kwani Adamoo kitu gani kulinganisha na maslahi binafsi?

Kwani haki ya Moses Lijenje ina nini kulinganisha na maslahi binafsi?

Kweli mkono mtupu haulambwi.

Mambo kama haya yanakera.

Ila haki inapokosekana mahakamani si jambo la kupuuzia.
 
Hakuna mahakama hapo hilo ni shina la CCM

Kudhani ni CCM inaweza kuwa kupoteza shabaha.

Alisema Chakubanga nchi imetekwa nyara.

IMG_20210911_000004_180.jpg

Mtu nyuma ya usukani ndiyo mtu wetu anajua Moses Lijenje alipo.
 
Back
Top Bottom