Mahakama kuu Arusha kutumika kisiasa

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
Hatujasahau walivyojidhalilisha kwa kutoa amri kumkamata mh.mbowe.leo wanataka askofu mkuu akamatwe.ni vichaa mahakimu hawa? Wanataka mahakama ziruhusiwe kuingilia uhuru wa kuabudu?
 
Hatujasahau walivyojidhalilisha kwa kutoa amri kumkamata mh.mbowe.leo wanataka askofu mkuu akamatwe.ni vichaa mahakimu hawa? Wanataka mahakama ziruhusiwe kuingilia uhuru wa kuabudu?

Hizi mahakama zetu zinataka kutupeleka pabaya. Ninajaribu kufikiria sheria zatu za Tanzania kama kuna sheria yoyote inayoweza kukataza dhehebu fulani wasimsimike Askofu wao. Nijuavyo katiba ya nchi hii (TZ) imetoa uhuru wa kuabudu ambapo ni pamoja na taratibu zao za ibada na namna ya kuwaweka viongozi wao.

Najua vile vile viongozi wa dini watawajibika mbele ya sheria kwa yale mambo ambayo yana mwingiliano na sheria za kiraia mf.jinai nk. Katika suala la nani awe Askofu na kwa utaratibu gani sidhani kama kuna namna mahakama inaingia huko.
 
Back
Top Bottom