Mahakama kuingia likizo tarehe 15 Disemba 2018 hadi tarehe 31 Januari 2019

Maskini Freeman Mbowe na Ester Xmass na New Year wanakula ndani.
Mimi nasubiri tu kuona sura mbovuu ya Jiwe sikuya Krismasi ikitamka mbele ya viongozi wa dini wanafiki "Tupendane, tuombee nchi yetu iwe na amani" huku limeshawatupa MBOWE na MATIKO mahabusu na huku likiugulia maumivu baada ya adhma yake ya kumuua Tundu Lissu kushindikana.

#ViongoziWaDiniWanafiki
 
Back
Top Bottom