carcinoma
JF-Expert Member
- Mar 5, 2017
- 5,059
- 13,718
Toka yule jaji wa kwanza ile kesi ndogo , kila kitu kilikua obvious kwamba jamaa hana kesi lkn serikali iliamua kukaza kichwa, unadhani kuna tofauti yoyote sasa hivi.. hii kesi kama serikali ina plan basi tutaona lkn wameshaamua kuvulia nguo na wanataka kuoga hadi mwisho.Binafsi sidhani kama serikali itakua tayari kuendelea 'kuvuliwa nguo' na upande wa utetezi, hii ngoma nadhani serikali inaenda kuimaliza kiutu uzima tu, ili mambo yasiwe mengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa atakutwa na kesi ya kujibu na kesi itaendelea.