Mahakama kuamua hatma ya Winnie katika Mirathi ya Mandela

Ambiente Guru

JF-Expert Member
May 21, 2012
2,597
1,072
Mahakama kuu ya Mthatha inakaribia kutoa hukumu kama mke wa zamani wa Rais Nelson Mandela Winnie Madikizela-Mandela ana haki ya kurithi nyumba iliyoko katika kijiji cha Qunu. Hapo ndipo alipozaliwa Mandela. Hati ya mirathi ilimpa Graça Machel mamlaka ya kusimamia nyumba hiyo ya familia.

Wazee wa jadi wanatetea nyumba hiyo apewe Winnie kama mila za huko zinavyotaka. Winnie anataka kutengua hati ya awali akisema yeye ndiye mrithi halali.

win+pic.jpg

Source; Daily Nation
 
Back
Top Bottom