Mahakama:kichaka kipya kinachoficha maovu ya serikali na watumishi wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahakama:kichaka kipya kinachoficha maovu ya serikali na watumishi wake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PISTO LERO, Jul 19, 2012.

 1. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ni wazi sasa Mahakama imekuwa kichaka kipya cha kuficha uozo na uchafu wa Ccm,ni jambo la kusikitisha sana chombo hiki ambacho kimekuwa kikipigiwa debe kuwa ni chombo safi na kinachotenda haki kwa wote bila kujali itikadi ya upande wowote sasa kimeingia kwenye kashfa na kimejidhihirisha kuwa hakiko kwa maslahi ya wote ,bali kikokwa maslahi ya watu flani,na sasa Mahakama ileile iliyokuwa ikijinasibu kuwa inatenda haki bila kujali itikadi sasa imekuwa ikitumika kana chombo kuku cha kuwanyanyasa watanzania kwa naslahi ya wayu flani.

  Mahakama hii kwa kushirikiana na Bunge Pilisi pamoja na Serikali vimekuwa vikizuia haki ya msing ya watanzania kujadili mabo yanayowahusu kwa kisingizio kuwa jambo hilo likomahakamani,tumeshuhudia nchi ikipita katika wakati mgumu na sintofahamu nyingi,lakini Watanzania pamoja na wawakilishi wao wamekuwa wakizuiwa kuyajadili ili kuyapatia ufumbuzi kwa kisingizio kuwa jambo hilo liko Mahakamani kwahiyo halitakiwi kilizungumzia,

  Haiingii akilini Watanzania tunakufa alafu Serikali kupitia Bunge linazuia mijadala ya kupata ufumbuzi kwa kisingizio cha kutokutaka bunge kuingilia mhimili mwimgine.lakini chaajabu na cha kushangaza zaidi ni pale upande mmoja tu ndio unaozuiwa kuliongelea maswala yaliyoko Mahakamani.
  Wanajamvi hata pale upande wa pili uliposema hauna imani na mahakama sikuwaelewa na mara zote nilifikifi ni mbwembwe za kisiasa lakini sasahivi tunaanza kuelewa wanamaanisha nini na wana haki ya kutokuwa ma imani na Mahakama kama mambo yenyewe ndiyohaya, kwakweli sina la kuwalaum kwa hilo.

  Nashindwa kuelewa kwanini Mahakama, na Polisi vinakubali kugeuzwa na Bunge kishaka cha maovu ya Serikali na watumishi wake tena kwenye matukio makubwa yanayo hitaji mijadala mipana,sasabasi kamaserikali ina mahali pa kujificha je sisi wananchi wa kawaida tujifiche wapiii?kama mahakama na polisi vime tuasi sisi wananchi tukapate wapi haki yetu? bado tunapata taabu na maswli haya.
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hili mahakama kuwa kichaka kwa mafisadi liko wazi!
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  It is obvious kuwa JK hawezi kumchagua chief justice ambaye hana maslahi naye. Huwezi kupata fadhila ya ulaji mkubwa kama huo usitoe fadhila. Ndio maana katika katiba mpya, Vyeo vikubwa kama hivyo kuwe na tume/utaratibu mwingine wa kuwapata ambao hauhusishi mamlaka fulani yanayohodhiwa na mtu mmoja kuwachagua. Ukichanganya na hawa majaji wa "UPE" or universal Juducial judges (UJUJU) tabu tupu. Mungu nilinde wasije wakalipiza!!!!

  Tundu Lissu kazi unayyo, Tuombe Mungu mwema akunusuru na kesi ys aina yoyote. Nakupenda sana kwa umahili wako katika kutetea wanyonge!
   
 4. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  pamoja ndugu
   
 5. M

  MTK JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Chama dhaifu CCM = Serikali dhaifu = mihimili dhaifu = (Executive branch dhaifu + Bunge dhaifu + mahakama dhaifu)
   
 6. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Learned fellows are now learned followers
   
Loading...