Mahakama inatoa uraia?

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,556
21,483

Kuna chama kimoja Kyela kinaongoza kwa kuweka wahamiaji haramu katika nafasi ya uenyekiti wa kijiji. Walikuwa wanapelekwa mahakamani na wanaapishwa halafu wanaambiwa tayari wamekua raia wa Tanzania.

Je kwa mujibu wa sheria mahakama inatoa uraia?
 
Kwa kuwa mahakama zipo chini ya ytawala wa ccm wanaruhusiwa kufanya kila kitu hata kukufunga bila kosa ,katiba wameitunga wao hakuna sheria inayowabana wamejijengea ukuta.
 
Hicho chama basi kimechoka mno kwani hadi wenyeviti wa vijiji wanakosa hadi wapate mamluki kutoka nchi nyingine? hilo tunawaachia watu wenye mamlaka washughurikie.
 
Kuna chama kimoja Kyela kinaongoza kwa kuweka wahamiaji haramu katika nafasi ya uenyekiti wa kijiji. Walikuwa wanapelekwa mahakamani na wanaapishwa halafu wanaambiwa tayari wamekua raia wa Tanzania.

Je kwa mujibu wa sheria mahakama inatoa uraia?

Hii nchi imenajisiwa sasa kama hatutafunga na kuomba tunaenda kupotea kwenye uso wa dunia, mahakama na uraia wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom