Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,557
- 21,495
Kuna chama kimoja Kyela kinaongoza kwa kuweka wahamiaji haramu katika nafasi ya uenyekiti wa kijiji. Walikuwa wanapelekwa mahakamani na wanaapishwa halafu wanaambiwa tayari wamekua raia wa Tanzania.
Je kwa mujibu wa sheria mahakama inatoa uraia?