Mahakama ina watumishi/makada wa CCM,Ikulu inakuwaje karani anapoteza ushahidi na mahakama inakaa kimya.Je, ni kesi ngapi haki haijatendeki?

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Kwa sakata la Mbowe nakumbuka ile kauli anawaambia majaji kwanini serikali inashindwa kesi na jaji kateuliwa na rais yaani kauli haina tofauti na wakureugenzi nakuteua nakupa gari na mafuta halafu unamtangaza mpinzani mshindi.

Sishangai jaji kugomea kujiondoa kusikiliza kesi ni wazi ana maslai ya tumbo na ikulu.

Na anavyosema nitawafunga means inayofunga watu ni ikulu sio mahakama

Kama bunge lishatekwa na mahakama inaelekea huko kama muhimili nini maana yake?

Ni wazi huu muhimili unaelekea kutawala kwa mkono wa chuma
 
Kwanini mkishinda kesi hamuongei huu uharo wenu?
Kikwete aliyekuwa anawachekea hadi mnamtukana hayupo tena sasa hivi ukileta upuuzi tunaku SUKUMA NDANI.
Usifurahie mateso ya wengine kwa uonevu, yakikupata na ww utaona umuhimu wa kua na mahakama huru, by the way wana haki ya kushangilia pale kesi inapokua haina kichwa wala miguu, kwa maana ya kesi za kubambika
 
Kwa sakata la Mbowe nakumbuka ile kauli anawaambia majaji kwanini serikali inashindwa kesi na jaji kateuliwa na rais yaani kauli haina tofauti na wakureugenzi nakuteua nakupa gari na mafuta halafu unamtangaza mpinzani mshindi.

Sishangai jaji kugomea kujiondoa kusikiliza kesi ni wazi ana maslai ya tumbo na ikulu.

Na anavyosema nitawafunga means inayofunga watu ni ikulu sio mahakama

Kama bunge lishatekwa na mahakama inaelekea huko kama muhimili nini maana yake?

Ni wazi huu muhimili unaelekea kutawala kwa mkono wa chuma
Turejee kauri ya Jaji Mstaafu aliyoitoa ikulu kuhusu maelekezo toka juu inazopewa mahakama.
 
Kauri - kauli
Duh
Mahakamani siyo nyumbani kwako, tii sheria kuepukana na polisi, mahakama na hospitali
 
Kwanini mkishinda kesi hamuongei huu uharo wenu?
Kikwete aliyekuwa anawachekea hadi mnamtukana hayupo tena sasa hivi ukileta upuuzi tunaku SUKUMA NDANI.
We chekelea tu;mwenzio tulimpa unene huko tra,kisha tukampa ubalozi amerika ya kaskazini,leo tumemnyang'anya ubalozi na mwishowe TUTAMSUKUMIZA NDANI;PUMBAVU
 
Back
Top Bottom