Inaweza kuwa siyo spika aliyeandika hiyo barua ,makachero wengi wa ccm ni vilaza,ukute hiyo barua walimletea na AK47 kichwani asaini.sasa kwa vile ni mavilaza hayajui utaratibu ndo maana ya kile tunachokiona sasa.Siyo hajui isipokuwa alifanya makusudi
Hakunaga kiongozi wa ccm anayeweza kung'atuka pasipp kupigwa tindo za kutosha.Ndugai kuondoka ilikuwa ni lazima isipokuwa utaratibu haukufuatwa
Hakuna kitu kama hichoHakunaga kiongozi wa ccm anayeweza kung'atuka pasipp kupigwa tindo za kutosha.
kaka unafikiri hata katiba wanaijuwa basi? kila siku kudai katiba mpya akati ya zamani hawaijui halafu hawaeleweki wanataka nini ndugai aurudi bungeni au vipi?Kilichofanyika ni sahihi kikatiba..👇👇 Kinachotakiwa kupelekwa ni "TAARIFA iliyo sainiwa"...Taarifa yaweza kuwa BARUA/NAKALA YA BARUA/PRESS RELEASE n.k. SURA YA KUMI NA MOJA 149(1) (C)Iwapo mtu huyo ni Spika au Naibu Spika wa Bunge basi taarifa hiyo ya kujiuzulu ataiwasilisha kwenye Bunge.
Uwezo wako ni mdogo sana kuchanganua mamboNakumbuka barua ya kujiuzulu ya Spika Ndugai iliandikwa kwenda kwa Katibu wa CCM na Nakala kwa Katibu wa Bunge.
Inaonyesha kama watu hawana kazi za kufanya ndiyo maana wanakomalia vitu marginals vya namna hii. Nadhani Mahakama imeona bora watu wakaendelee na kazi za maana kama wanazo, kuliko kuwaacha wakaendelea na utoto utoto wa namna hii. Huu ulikuwa ni utoto perceNakumbuka barua ya kujiuzulu ya Spika Ndugai iliandikwa kwenda kwa Katibu wa CCM na Nakala kwa Katibu wa Bunge.
Leo Mahakama inatupilia mbali kesi ya kupinga kujiuzulu na kutuambia ilikuwa halali kwa sababu barua iliandikwa kwenda kwa katibu wa bunge na nakala kwa katibu wa CCM. Kuna nini kimejificha hapo?
Hata kama mnahisi watanzania ni wendawazimu hii imezidi kiasi.
=======
Zaidi soma:Mahakama Kuu yatupilia mbali kesi ya kupinga Ndugai kujiuzulu Uspika. Yasema hakuna ukiukwaji wa Katiba uliofanywa
Pia ikiwa ni kesi itaamuliwa kuwa hao wapo kihalali so kuna haja gani kufungua mashtaka.Yani wali ua demokrasia, walijichagua wenyewe kwenye nafasi za ubunge walivyo fika bungeni wakakumbuka kuna hela zina toka EU masharti ni kwamba muwe na upinzani bungeni, wakakaa wakatafakari waka wachukua kina Halima