Mahakama ikiingiliwa uhuru wake unapotea automatically. Tundu Lissu kusema Mbowe siyo gaidi haikuwa jukumu lake

Mahakama ndio chombo kilichopewa jukumu la kutafsiri sheria kwa mujibu wa katiba.

Hivi karibuni Chadema wamekuwa na tabia ya kuongelea maswala ya kesi za wanachama wao wakati kesi zikiwa zinaendelea mahakamani hili siyo jambo jema kwa kweli.

Mfano Mh Mbowe alipofikishwa mahakamani kwa kesi ya ugaidi Tundu Lisu aliibuka na kusema Freeman Mbowe siyo gaidi na kwamba hiyo kesi amebambikiwa.

Kwanini tusisubiri mahakama itende haki badala ya kuiingilia na huyu Antipas ni wakili kabisa wa mahakama?

Mungu Ibariki Tanzania, tumetoka mbali tunaenda mbali!
Katiba inaruhusu raia wa Tanzania kutoa maoni yao kuhusu jambo lolote lile ili mradi halivunji sheria za nchi, sasa Lissu ni raia kama ulivyo wewe na maoni yako hapa jamvini.
 
Mahakama ndio chombo kilichopewa jukumu la kutafsiri sheria kwa mujibu wa katiba.

Hivi karibuni Chadema wamekuwa na tabia ya kuongelea maswala ya kesi za wanachama wao wakati kesi zikiwa zinaendelea mahakamani hili siyo jambo jema kwa kweli.

Mfano Mh Mbowe alipofikishwa mahakamani kwa kesi ya ugaidi Tundu Lisu aliibuka na kusema Freeman Mbowe siyo gaidi na kwamba hiyo kesi amebambikiwa.

Kwanini tusisubiri mahakama itende haki badala ya kuiingilia na huyu Antipas ni wakili kabisa wa mahakama?

Mungu Ibariki Tanzania, tumetoka mbali tunaenda mbali!
Kama haki haionekani ikitendwa,wasiposema watu hata mawe yataongea🤔.
 
Mfano Mh Mbowe alipofikishwa mahakamani kwa kesi ya ugaidi Tundu Lisu aliibuka na kusema Freeman Mbowe siyo gaidi na kwamba hiyo kesi amebambikiwa.

Kwanini tusisubiri mahakama itende haki badala ya kuiingilia na huyu Antipas ni wakili kabisa wa mahakama?
Mama Samia (tena Raisi wa nchi) alipoiambia dunia kuwa ushahidi wa ugaidi wa mbowe upo wazi na utathibitishwa mbona hili hulisemei?
 
Mahakama ndio chombo kilichopewa jukumu la kutafsiri sheria kwa mujibu wa katiba.

Hivi karibuni CHADEMA wamekuwa na tabia ya kuongelea maswala ya kesi za wanachama wao wakati kesi zikiwa zinaendelea mahakamani hili siyo jambo jema kwa kweli.

Mfano Mh Mbowe alipofikishwa mahakamani kwa kesi ya ugaidi Tundu Lisu aliibuka na kusema Freeman Mbowe siyo gaidi na kwamba hiyo kesi amebambikiwa.

Kwanini tusisubiri mahakama itende haki badala ya kuiingilia na huyu Antipas ni wakili kabisa wa mahakama?

Mungu Ibariki Tanzania, tumetoka mbali tunaenda mbali!
Kuna mahakama au kuna tawi kuu la CCM?
 
Tundu Lisu kusema Mbowe siyo Gaidi hakuathiri kwa namna yeyote Mwenendo Wa kesi kwa maana ametoa maoni yake kama Raia yeyote yule.

Samia Suluhu kusema Mbowe ni Gaidi kuna athari kwa mwenendo Wa kesi kwa sababu maoni yake kama Kiongozi Mkuu Wa nchi yanashinikiza maamuzi ya Majaji ambao ni wateule wake.
Hatari sn
 
Mahakama ndio chombo kilichopewa jukumu la kutafsiri sheria kwa mujibu wa katiba.

Hivi karibuni CHADEMA wamekuwa na tabia ya kuongelea maswala ya kesi za wanachama wao wakati kesi zikiwa zinaendelea mahakamani hili siyo jambo jema kwa kweli.

Mfano Mh Mbowe alipofikishwa mahakamani kwa kesi ya ugaidi Tundu Lisu aliibuka na kusema Freeman Mbowe siyo gaidi na kwamba hiyo kesi amebambikiwa.

Kwanini tusisubiri mahakama itende haki badala ya kuiingilia na huyu Antipas ni wakili kabisa wa mahakama?

Mungu Ibariki Tanzania, tumetoka mbali tunaenda mbali!
Hili jamaa likishakunywa ulanzi linaongea ujinga
 
Hivi shahidi anavyotoa ushahidi kwa kutiririka bila kujikwaa kwaa, halafu Jaji anaingilia kuwa huenda shahidi anafundisha, hiyo inaitwa nini kwenye maadili ya mahakama?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwani awamu ile dikteta alipotia mahakama na bunge mfukoni kila sifa ni yeye mlikua wapi?
 
Back
Top Bottom