Donasian kabengo
JF-Expert Member
- Jul 29, 2016
- 792
- 405
Wewe ni kima
Umeshafura!Wewe ni kima
Katiba inaruhusu raia wa Tanzania kutoa maoni yao kuhusu jambo lolote lile ili mradi halivunji sheria za nchi, sasa Lissu ni raia kama ulivyo wewe na maoni yako hapa jamvini.Mahakama ndio chombo kilichopewa jukumu la kutafsiri sheria kwa mujibu wa katiba.
Hivi karibuni Chadema wamekuwa na tabia ya kuongelea maswala ya kesi za wanachama wao wakati kesi zikiwa zinaendelea mahakamani hili siyo jambo jema kwa kweli.
Mfano Mh Mbowe alipofikishwa mahakamani kwa kesi ya ugaidi Tundu Lisu aliibuka na kusema Freeman Mbowe siyo gaidi na kwamba hiyo kesi amebambikiwa.
Kwanini tusisubiri mahakama itende haki badala ya kuiingilia na huyu Antipas ni wakili kabisa wa mahakama?
Mungu Ibariki Tanzania, tumetoka mbali tunaenda mbali!
Mleta mada ni mpumbavu wa kupindukia na ana masikio ya kimakengeza, typical of CCM people.Hangaya aliposema bibisy kuwa Mboe ni gaidi na wengine washahukumiwa angali hakuingilia uhuru wa mahakama?
Kama haki haionekani ikitendwa,wasiposema watu hata mawe yataongea🤔.Mahakama ndio chombo kilichopewa jukumu la kutafsiri sheria kwa mujibu wa katiba.
Hivi karibuni Chadema wamekuwa na tabia ya kuongelea maswala ya kesi za wanachama wao wakati kesi zikiwa zinaendelea mahakamani hili siyo jambo jema kwa kweli.
Mfano Mh Mbowe alipofikishwa mahakamani kwa kesi ya ugaidi Tundu Lisu aliibuka na kusema Freeman Mbowe siyo gaidi na kwamba hiyo kesi amebambikiwa.
Kwanini tusisubiri mahakama itende haki badala ya kuiingilia na huyu Antipas ni wakili kabisa wa mahakama?
Mungu Ibariki Tanzania, tumetoka mbali tunaenda mbali!
Mama Samia (tena Raisi wa nchi) alipoiambia dunia kuwa ushahidi wa ugaidi wa mbowe upo wazi na utathibitishwa mbona hili hulisemei?Mfano Mh Mbowe alipofikishwa mahakamani kwa kesi ya ugaidi Tundu Lisu aliibuka na kusema Freeman Mbowe siyo gaidi na kwamba hiyo kesi amebambikiwa.
Kwanini tusisubiri mahakama itende haki badala ya kuiingilia na huyu Antipas ni wakili kabisa wa mahakama?
Ukilisema wewe inatosha bwashee!Mama Samia (tena Raisi wa nchi) alipoiambia dunia kuwa ushahidi wa ugaidi wa mbowe upo wazi na utathibitishwa mbona hili hulisemei?
Huyo akiwa kwenye deiz zake anapoteza kumbukumbuMaushungi alivuruga nini? Au ndiyo ushapoteza kumbukumbu kama mdau hapo juu alivyokushangaa?
Kuna mahakama au kuna tawi kuu la CCM?Mahakama ndio chombo kilichopewa jukumu la kutafsiri sheria kwa mujibu wa katiba.
Hivi karibuni CHADEMA wamekuwa na tabia ya kuongelea maswala ya kesi za wanachama wao wakati kesi zikiwa zinaendelea mahakamani hili siyo jambo jema kwa kweli.
Mfano Mh Mbowe alipofikishwa mahakamani kwa kesi ya ugaidi Tundu Lisu aliibuka na kusema Freeman Mbowe siyo gaidi na kwamba hiyo kesi amebambikiwa.
Kwanini tusisubiri mahakama itende haki badala ya kuiingilia na huyu Antipas ni wakili kabisa wa mahakama?
Mungu Ibariki Tanzania, tumetoka mbali tunaenda mbali!
Hatari snTundu Lisu kusema Mbowe siyo Gaidi hakuathiri kwa namna yeyote Mwenendo Wa kesi kwa maana ametoa maoni yake kama Raia yeyote yule.
Samia Suluhu kusema Mbowe ni Gaidi kuna athari kwa mwenendo Wa kesi kwa sababu maoni yake kama Kiongozi Mkuu Wa nchi yanashinikiza maamuzi ya Majaji ambao ni wateule wake.
Hili jamaa likishakunywa ulanzi linaongea ujingaMahakama ndio chombo kilichopewa jukumu la kutafsiri sheria kwa mujibu wa katiba.
Hivi karibuni CHADEMA wamekuwa na tabia ya kuongelea maswala ya kesi za wanachama wao wakati kesi zikiwa zinaendelea mahakamani hili siyo jambo jema kwa kweli.
Mfano Mh Mbowe alipofikishwa mahakamani kwa kesi ya ugaidi Tundu Lisu aliibuka na kusema Freeman Mbowe siyo gaidi na kwamba hiyo kesi amebambikiwa.
Kwanini tusisubiri mahakama itende haki badala ya kuiingilia na huyu Antipas ni wakili kabisa wa mahakama?
Mungu Ibariki Tanzania, tumetoka mbali tunaenda mbali!
Hivi shahidi anavyotoa ushahidi kwa kutiririka bila kujikwaa kwaa, halafu Jaji anaingilia kuwa huenda shahidi anafundisha, hiyo inaitwa nini kwenye maadili ya mahakama?Mahakama ndio chombo kilichopewa jukumu la kutafsiri sheria kwa mujibu wa katiba.
Hivi karibuni CHADEMA wamekuwa na tabia ya kuongelea maswala ya kesi za wanachama wao wakati kesi zikiwa zinaendelea mahakamani hili siyo jambo jema kwa kweli.
Mfano Mh Mbowe alipofikishwa mahakamani kwa kesi ya ugaidi Tundu Lisu aliibuka na kusema Freeman Mbowe siyo gaidi na kwamba hiyo kesi amebambikiwa.
Kwanini tusisubiri mahakama itende haki badala ya kuiingilia na huyu Antipas ni wakili kabisa wa mahakama?
Mungu Ibariki Tanzania, tumetoka mbali tunaenda mbali!
Hata mimi naamini Mbowe siyo gaidi.
Ila tuiache mahakama itafsiri kwa haki.
Musiba alisema wazi kuwa hakuna jaji wa kumhukumu nchi hii kwasababu majaji wote wanapokea maelekezo kutoka kwa Rais Magufuli.
Ukilisema wewe inatosha bwashee!
Ni bibi huyoHili jamaa likishakunywa ulanzi linaongea ujinga