Mahakama ikiingiliwa uhuru wake unapotea automatically. Tundu Lissu kusema Mbowe siyo gaidi haikuwa jukumu lake

katika nadharia ya haki,
"mtu hana hatia mpaka ithibitishwe na mahakama pasipo na shaka"
kwa maana hiyo kusema mtu flani hana hatia sio kuingilia mahakama kwani ndivyo inavyotakiwa lakini kusema mtu flani kuwa na hatia ndio kuingilia Uhuru wa mahakama
kwa Tundu Lissu kusema Mbowe sio gaidi hiyo haiingilii Uhuru wa mahakama ila ni haki yake kusema mtu yule hana hatia
ila kama vile mama tozo kwenye interview take ya BBC kile alichokisema ndio kuingilia Uhuru wa mahakama kwa kuhukumu kabla mahakama haijatoa hukumu ya kesi, hivyo hivyo alivyosema IGP hawa wote kauli zao zinaingilia Uhuru wa mahakama bila kujali nyazifa zao
 
Mahakama ndio chombo kilichopewa jukumu la kutafsiri sheria kwa mujibu wa katiba.

Hivi karibuni Chadema wamekuwa na tabia ya kuongelea maswala ya kesi za wanachama wao wakati kesi zikiwa zinaendelea mahakamani hili siyo jambo jema kwa kweli.

Mfano Mh Mbowe alipofikishwa mahakamani kwa kesi ya ugaidi Tundu Lisu aliibuka na kusema Freeman Mbowe siyo gaidi na kwamba hiyo kesi amebambikiwa.

Kwanini tusisubiri mahakama itende haki badala ya kuiingilia na huyu Antipas ni wakili kabisa wa mahakama?

Mungu Ibariki Tanzania, tumetoka mbali tunaenda mbali!
Comments reserved
 
Get a life, miaka inakwenda umri unasogea utskuja kuitwa Baba, sasa kwa akili hizi utaweza kuhudumia familia? Kwa kipato gani? Kushinda mitandaoni huku wenzio wanapiga ela?
Jaribu na wewe kushinda hapa Jf kama hujafa kwa kifaduro!

CCM kumejaa fursa ndio maana wabunge wenu wote wamehamia lumumba!
 
katika nadharia ya haki,
"mtu hana hatia mpaka ithibitishwe na mahakama pasipo na shaka"
kwa maana hiyo kusema mtu flani hana hatia sio kuingilia mahakama kwani ndivyo inavyotakiwa lakini kusema mtu flani kuwa na hatia ndio kuingilia Uhuru wa mahakama
kwa Tundu Lissu kusema Mbowe sio gaidi hiyo haiingilii Uhuru wa mahakama ila ni haki yake kusema mtu yule hana hatia
ila kama vile mama tozo kwenye interview take ya BBC kile alichokisema ndio kuingilia Uhuru wa mahakama kwa kuhukumu kabla mahakama haijatoa hukumu ya kesi, hivyo hivyo alivyosema IGP hawa wote kauli zao zinaingilia Uhuru wa mahakama bila kujali nyazifa zao
unapoteza muda wako kuelewesha kenge.
 
Mahakama ndio chombo kilichopewa jukumu la kutafsiri sheria kwa mujibu wa katiba.

Hivi karibuni Chadema wamekuwa na tabia ya kuongelea maswala ya kesi za wanachama wao wakati kesi zikiwa zinaendelea mahakamani hili siyo jambo jema kwa kweli.

Mfano Mh Mbowe alipofikishwa mahakamani kwa kesi ya ugaidi Tundu Lisu aliibuka na kusema Freeman Mbowe siyo gaidi na kwamba hiyo kesi amebambikiwa.

Kwanini tusisubiri mahakama itende haki badala ya kuiingilia na huyu Antipas ni wakili kabisa wa mahakama?

Mungu Ibariki Tanzania, tumetoka mbali tunaenda mbali!
Hilijina unalotumia unalinajisi sana kwani jina la Yuda hukuliona?? Acha kuchafua majina yawatu maalumu asee!! Unafiki wako humu niwahali yajuu sijui wanaoishi nawewe live wanadhurikaje but nafeel sorry for them hasa wanafamilia. POLE!!
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kufanyakazi ya uchawa.

Unasikitisha kama riziki yako unategemea ccm, pole sana.
Hahahaaaa....... Tangu Jiwe abomoe nyumba ya shemeji yako kimara umevurugwa kabisa.

Mbona jirani yenu Prof Jay yuko poa tu!
 
Mahakama ndio chombo kilichopewa jukumu la kutafsiri sheria kwa mujibu wa katiba.

Hivi karibuni Chadema wamekuwa na tabia ya kuongelea maswala ya kesi za wanachama wao wakati kesi zikiwa zinaendelea mahakamani hili siyo jambo jema kwa kweli.

Mfano Mh Mbowe alipofikishwa mahakamani kwa kesi ya ugaidi Tundu Lisu aliibuka na kusema Freeman Mbowe siyo gaidi na kwamba hiyo kesi amebambikiwa.

Kwanini tusisubiri mahakama itende haki badala ya kuiingilia na huyu Antipas ni wakili kabisa wa mahakama?

Mungu Ibariki Tanzania, tumetoka mbali tunaenda mbali!
Kwa Yanayoendelea huko mahakamani hata kama hujui sheria unaona kuna uhuru wa mahakama kweli, unaona kuna dalili ya haki kutendeka kweli??
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom