mweusi asili
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 2,035
- 3,349
katika nadharia ya haki,
"mtu hana hatia mpaka ithibitishwe na mahakama pasipo na shaka"
kwa maana hiyo kusema mtu flani hana hatia sio kuingilia mahakama kwani ndivyo inavyotakiwa lakini kusema mtu flani kuwa na hatia ndio kuingilia Uhuru wa mahakama
kwa Tundu Lissu kusema Mbowe sio gaidi hiyo haiingilii Uhuru wa mahakama ila ni haki yake kusema mtu yule hana hatia
ila kama vile mama tozo kwenye interview take ya BBC kile alichokisema ndio kuingilia Uhuru wa mahakama kwa kuhukumu kabla mahakama haijatoa hukumu ya kesi, hivyo hivyo alivyosema IGP hawa wote kauli zao zinaingilia Uhuru wa mahakama bila kujali nyazifa zao