Mahakama ikiingiliwa uhuru wake unapotea automatically. Tundu Lissu kusema Mbowe siyo gaidi haikuwa jukumu lake

Mahakama ndio chombo kilichopewa jukumu la kutafsiri sheria kwa mujibu wa katiba.

Hivi karibuni CHADEMA wamekuwa na tabia ya kuongelea maswala ya kesi za wanachama wao wakati kesi zikiwa zinaendelea mahakamani hili siyo jambo jema kwa kweli.

Mfano Mh Mbowe alipofikishwa mahakamani kwa kesi ya ugaidi Tundu Lisu aliibuka na kusema Freeman Mbowe siyo gaidi na kwamba hiyo kesi amebambikiwa.

Kwanini tusisubiri mahakama itende haki badala ya kuiingilia na huyu Antipas ni wakili kabisa wa mahakama?

Mungu Ibariki Tanzania, tumetoka mbali tunaenda mbali!
Ungekuwa na akili timamu ungemtaja BI TOZO na Sirro kwani pia waliwaji kutoa matamshi kuhusiana na kesi ya Mbowe
 
Mahakama ndio chombo kilichopewa jukumu la kutafsiri sheria kwa mujibu wa katiba.

Hivi karibuni CHADEMA wamekuwa na tabia ya kuongelea maswala ya kesi za wanachama wao wakati kesi zikiwa zinaendelea mahakamani hili siyo jambo jema kwa kweli.

Mfano Mh Mbowe alipofikishwa mahakamani kwa kesi ya ugaidi Tundu Lisu aliibuka na kusema Freeman Mbowe siyo gaidi na kwamba hiyo kesi amebambikiwa.

Kwanini tusisubiri mahakama itende haki badala ya kuiingilia na huyu Antipas ni wakili kabisa wa mahakama?

Mungu Ibariki Tanzania, tumetoka mbali tunaenda mbali!
Midomo inawaponza sana akina Lissu na CHADEMA kwa kuropoka
 
Mahakama ndio chombo kilichopewa jukumu la kutafsiri sheria kwa mujibu wa katiba.

Hivi karibuni CHADEMA wamekuwa na tabia ya kuongelea maswala ya kesi za wanachama wao wakati kesi zikiwa zinaendelea mahakamani hili siyo jambo jema kwa kweli.

Mfano Mh Mbowe alipofikishwa mahakamani kwa kesi ya ugaidi Tundu Lisu aliibuka na kusema Freeman Mbowe siyo gaidi na kwamba hiyo kesi amebambikiwa.

Kwanini tusisubiri mahakama itende haki badala ya kuiingilia na huyu Antipas ni wakili kabisa wa mahakama?

Mungu Ibariki Tanzania, tumetoka mbali tunaenda mbali!
Mungu awalaani wabambikiaji kesi w9ote na awaadhibu kama alivyomuadhibu mwendazake.
Rais na vyombo vya dola vinapoingilia uhuru wa mahakama wewe kwako unaona ni sawa? You are simply stupid, uncivilised and a psycopath
 
Mahakama ndio chombo kilichopewa jukumu la kutafsiri sheria kwa mujibu wa katiba.

Hivi karibuni CHADEMA wamekuwa na tabia ya kuongelea maswala ya kesi za wanachama wao wakati kesi zikiwa zinaendelea mahakamani hili siyo jambo jema kwa kweli.

Mfano Mh Mbowe alipofikishwa mahakamani kwa kesi ya ugaidi Tundu Lisu aliibuka na kusema Freeman Mbowe siyo gaidi na kwamba hiyo kesi amebambikiwa.

Kwanini tusisubiri mahakama itende haki badala ya kuiingilia na huyu Antipas ni wakili kabisa wa mahakama?

Mungu Ibariki Tanzania, tumetoka mbali tunaenda mbali!
CCM wanaposema Mbowe ni gaidi nani kawapa majukumu haya ya KISHETANI?
 
Hata mimi naamini Mbowe siyo gaidi.

Ila tuiache mahakama itafsiri kwa haki.
CCM inafikiri inaweza tatua matatizo ya maji, umeme, barabara, umaskini nk kwa kutumia mamilioni ya maskini kuwanunua mahanadi wamsingizie Mbowe ugaidi.
 
Back
Top Bottom