Mahafali UDSM: Hawa ndiyo Wanafunzi wa Kike waliopata ufaulu Mzuri

Ma-future jobless wengine wameingia mtaani

Hawa wote wameshapata ajira Price water house coopers PWC Tanzania. Wanakula milioni mbili zao net kila mwezi.

Baada ya 10 yrs utawakuta ma head wa vitengo nyeti katika makampuni na mashirika makubwa
 
Attachments

  • 1680599388638.jpg
    1680599388638.jpg
    99.5 KB · Views: 4
Huyo Irene msengi alikua class mate wangu hapo udbs,kwa kweli hako kabinti kako vizuri sana kichwani.na kama sikosei kalipewa scholarship ya BOT kutokana na kufanya vizuri form 6.hongera zake kwa kweli,amevunja record ya miaka mingi kwani huwa ni vigumu sana kwa mtu kutoka udbs hasa hiyo bachelor of commerce in accounting kuongoza chuo kizima kama ilivyotokea mwaka huu,wengi huwa wanapata first class za kawaida tu.

Ameshaajiriwa big 4 PWC tanzania anaendelea kufanya wonders kwenye ulimwengu wa Audit
 
Hawa wote wameshapata ajira Price water house coopers PWC Tanzania. Wanakula milioni mbili zao net kila mwezi.

Baada ya 10 yrs utawakuta ma head wa vitengo nyeti katika makampuni na mashirika makubwa
Jamaa ana wivu sana huyo 😂😂
 
Back
Top Bottom