Mkuu Acha upotoshaji! Zile pesa hazikutolewa na awamu waMbona zimetolewa awamu ya tano na mradi karibu unakamilika
Fedha zimekuwa released kabla hata ile bahati nasibu haijachezwa!! Jifunze kusoma na kuelewa!Kama pesa hazikuwepo sasa unaongea nini? Mzee mipango sio matumizi,mama kakata mzizi wa fitina wa miaka na mikaka,kongole kwake pole yako.
We jamaa nakukubali sanaHii awamu kwa pinga pinga ni mbaya sana kwao
Wanatumia makilioAMETOA YEYE AU SERIKALI? HIZO SI KODI ZA WANANCHI?
HIVI HUWA MNAFIKIRIA KWA KUTUMIA MAKALIO?
Corruption is in the making style.Moshi tumemwomba barabara hataki, tukamwomba jiji la Moshi hakutaka, sasa sijui anataka tumwombe nini?
Imradi tu iwepo sehemu ya kumponda mwendazake na kumsifia JK.Tuna upinzani wa ovyo sana.Nyie watu Magufuli alishakufa na hakuna haja ya kuendelea kupambana naye kama njia ya kushika dora.
unajichanganya sana hahahahhah. Chuki dhidi ya Magufuli hazitawaingiza madarakani
Wapi nimesema hizo pesa zimetolewa leo na huyo #SSH?Mkuu bado unajichanganya,
Mradi ni pesa hakuna pesa hakuna mradi
Kama pesa zimetolewa leo 2022 ndio mradi wenyewe huo ,
Hakika uongozi wa Rais Samia ni neema tupu kila kona ya nchi |Arusha wapewa TZS 5.2B kwa mwaka kama 10% ya mapato ya Jiji kwaajili Vijana, wanawake na walemavu,Machali wa " R " Changamkeni acheni Ukamanda fake,
" Hakuna kama Samia "
Chini ya Sheria ya fedha ya Serikali za mitaa sura namba 290 kifungu cha 37 ya mwaka 2019 kila halmashauri inatakiwa kutenga 10% ya mapato yake kwa mwaka kwaajili ya maendeleo ya watu wa halmashauri husika kwa mchanganuo ufuatao, 4% kwaajili ya wanawake, 4% kwaajili ya Vijana na 2% kwaajili ya walemavu bila kujali dini, rangi,kabila au itikadi za siasa,
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dk John Marco Pima ameukuna mtima wa Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kutoa tshs 1.37BL kwaajili ya kutekeleza sheria hiyo ya fedha kwa robo ya kwanza ( 1Q ) ya mwaka,Nakwamantiki hiyo kwa mwaka mzima Dk Pima kwa niaba ya Rais Samia atatoa jumla ya Tshs 5.2BL yaani Vijana watapata Tshs 2.08BL,Wanawake Tshs 2.08BL na Walemavu Tshs 1.04BL hii ni zaidi ya Commercial Bank,Arusha changamkieni fursa hii achaneni na mambo ya Ukamanda tumieni hizi fedha ili mjenge familia zenu najua ninyi kamwe hamuwezi kukimbilia Kanada mmecheleweshwa sana Arusha,
Angalia hii,Kama kila kikundi cha watu watano kitapewa Tshs 10M tu Rais Samia kupitia Arusha Jiji atasaidia Jumla ya vikundi 520 kwa mwaka na tutakuwa na Loan Portifolio ya watu|wateja zaidi ya 2,600 ambao kila mmoja atapewa mtaji wa kuanzia wa mil 2,Na hii ndio utekelezaji wa Ilani ya CCM ya 2020|25 iliyoahidi ajira 8M kila mwenye macho na aone sasa Juhudi kubwa na nzuri za Rais Samia Suluhu Hassan Mkt wa ccm-tanzania.
Tanzania tuna Jumla ya halmashauri 184 kama kila Halmashauri itakuwa na Loan Portfolio ya wateja 1,000 tu nchi nzima kwa mwaka mmoja tutakuwa na Loan Portfolio ya watu 184,000 hapa Umasikini tutausikia tu redioni, Wakurugenzi wengine mnayohaja ya kuiga mfano huu mzuri wa Dk John Marco Pima mkurugenzi wa Jiji la Arusha na natamani matumizi ya 10% yawe ndio kigezo cha Ubora wa Mkurugenzi kwani wanachi lazima waone umuhimu wa kuendelea kuichagua CCM-Tanzania.
Mkuu unapoambiwa jambo tena na mwanasiasa ukiliamini jumla jumla itakula kwako.Maswali gani haya?
Wewe unapingana na kauli ya waziri wa maji?

Mkuu unapoambiwa jambo tena na mwanasiasa ukiliamini jumla jumla itakula kwako.
Waliopo Arusha wanaujua ukweli wa huo mradi...!
AMKA! Jitambue! Mawaziri wapo kumfurahisha bosi wao!
Ukweli kuhusu mradi wa maji Arusha
Rais John Magufuli ameweka jiwe la msingi katika mradi mkubwa wa maji safi na mazingira katika jiji la Arusha ambako vitachimbwa visima 56 vitakavyokuwa na uwezo wa kuzalisha lita milioni mbili...www.mwananchi.co.tz
Au Chief Hangaya kaongeza mahela mengine juzi alipokuja ziarani?
Khaaa Chadema siwawezi alo,Huu mradi ulikuwa hata kabla Magu hajaanza serikali ya awamu ya 5, JPM alivyoingia WB wakatoa hela hizo zote tshs 520B, mradi ukaanza, ndio hapo umefikia. Tuwekeni record vizuri.
Siwezi kubishana na wewe... Si akili zako hizo!Sasa kama ule mradi wenu ulikuwa ukamilike mwaka 2020 leo ni 2020
Shida nini?
Ndio maana nasema pesa ndio mradi Rais Samia katoa pesa na ndicho nilichosema
Basi mjulisheni kuwa abutue pia upande wa kikokotoo awaokoe wafanyakazi...Lazima tumuunge mkono kwakweli
Khaaa Chadema siwawezi alo,
Sasa huo mradi ni wamiaka mingapi?