Mahaba Matata. Havanaโฃ๏ธ

Hahaha endelea kula raha Matata ila usisahau kurudi home tz yetu sote

Home sweet home, nitarudi na Mjuba Jeff Havana
Tuendeleze kulisakata soka na chakacha

โฃ๏ธ๐Ÿ’ž Mahaba tele kwake ๐Ÿ’ž๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹

Kasie Matata.
 
Nkoi onene nalenatotoz lelenipa mambo matamu matamu..๐Ÿ˜‚
Onene natotogwa eli kasie lele li Bibi la kimataifa onene neyo ngaro..๐Ÿ˜‚
Lekaga ukusaya nkoi u Kasie wasolilwe ni igulyati Jeff ubebe uti na nguzu lyehaga.

Halafu bwashee acha kuchafua lugha ya anko hujui hata kuandika kilugha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Home sweet home, nitabidi na Mjuba Jeff Havana
Tuendeleze kulisakata soka na chakacha

โฃ๏ธ๐Ÿ’ž Mahaba tele kwake ๐Ÿ’ž๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹

Kasie Matata.
Mayu usithubutu kumleta bongo huyo Jeff wako atarogwa hadi arudi kwao kwa mguu

We hujui tu kuna wajuba hapa wanatamani Jeff akate kwamba leo leo maana wameibiwa demu wao Kasie Matata so wapo na hasira kama ya mbogo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nkoi onene nalenatotoz lelenipa mambo matamu matamu..๐Ÿ˜‚
Onene natotogwa eli kasie lele li Bibi la kimataifa onene neyo ngaro..๐Ÿ˜‚

Kiibeeereengeeeehhhhh....!!!

Nene nene nkoi matata ๐Ÿคช.
 
Lekaga ukusaya nkoi u Kasie wasolilwe ni igulyati Jeff ubebe uti na nguzu lyehaga.

Halafu bwashee acha kuchafua lugha ya anko hujui hata kuandika kilugha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ntawakata mitama wote wewe na Kezy wako.....

Jingโ€™ombe nyangโ€™ala maduduu, ndali na masumbangaaaaaa eeehhhh......! (Singing...!)
 
Mayu usithubutu kumleta bongo huyo Jeff wako atarogwa hadi arudi kwao kwa mguu

We hujui tu kuna wajuba hapa wanatamani Jeff akate kwamba leo leo maana wameibiwa demu wao Kasie Matata so wapo na hasira kama ya mbogo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Aaahahahahhaaa wawe wapole tuu.

Kasie na Jeff

Jeff Havana

Havana Matata...

Mjuba Jeff halogeki aahahahhaa.
 
Ntawakata mitama wote wewe na Kezy wako.....

Jingโ€™ombe nyangโ€™ala maduduu, ndali na masumbangaaaaaa eeehhhh......! (Singing...!)
Mimi namwita Jeff nkwela wane usiwaze kunipiga mtama kaka yako, wakupiga ni kenzy huyo ni mshenzi getegete ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Nishaga kupiga mtama kitambo sana sema kwakuwa ni Bibi hujajua siku ukijua utazimia..๐Ÿ˜‚

Aahahahahaa horaa babaa horaa baba, ulikuwa wa jaazeeetiiii (gazeti )
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom