Magwiji wa CG (Computer Graphics) jiongezeeni mautundu:

Umenshangaza mwenzio FF. Hapa hata utani wangu siweki kwa kuheshimu ilichoandika na kuwajuza wengine. BIG THANKS.

BTW: Mie mwenyewe nilishacheza na hizo Graphics kipindi fulani haswa kwenye Autocad na baadaye nikahamia Microstations. Sasa hivi nimebadili kabisa ingawa nipo bado kwenye CAD.
Huwa napitia mara moja moja ikibidi.
 
Umenshangaza mwenzio FF. Hapa hata utani wangu siweki kwa kuheshimu ilichoandika na kuwajuza wengine. BIG THANKS.

BTW: Mie mwenyewe nilishacheza na hizo Graphics kipindi fulani haswa kwenye Autocad na baadaye nikahamia Microstations. Sasa hivi nimebadili kabisa ingawa nipo bado kwenye CAD.

Nguruwe pita leo sina Mkuki(By Malila wa JF).
 
Hahahaaa, unanikaanga kwa mafuta yangu siyo? Siyo mimi lakini, ni Malila wa JF na ni neno aliona kwenye GARI.

Mie nakuacha tu upite kwenye UZI huu wa maana, nikihama tu nachukua Mkuki wangu......

Back
Top Bottom