Magwanda: Ishara ya Udikteta wa wanasiasa!

Paparazi Muwazi

JF-Expert Member
Dec 23, 2007
310
79
Magwanda ni ishara ya vita na ukomonisti. CHADEMA wakiingia madarakani watakuwa madikteta kama Hugo Chaves au Fidel Castro.

MnyikaJJ.jpg


Hata Zitto Kabwe naye anavaa. Mpaka sasa asiyevaa haya ni Dr Slaa mnyenyekevu mtumishi wa Mungu

PM
 
PM naamini hii statement umeitoa kulingana na upeo wako wa kufikiri lakini siamini kama ni fair kuki judge chama chochote au mtu kwa kutumia kigezo cha mavazi tu.
 
Vichwa vingine bwana, hii thread mbona ipo au kwa kuwa haikuandikwa ulivyoandika...!

Najiuliza huyu aliyeanzisha hii thread ni kiwango gani cha kufikiria. either mkubwa lakini...?

Hata hivyo yawezekana shida ni kukomaa, maana wakati huu tuna adui mmoja tu, mafisadi...! Asiyechangia nguvu pamoja nasi katika kuwang´oa mafisadi (vijisenti)na kutuelekeza kuwaza mambo mengien kupoteza lengo na sisi tuna watoto wanategemea future tunayowaandalia sasa, huyo jamani ni taahira. Nichukue nafasi hii kumwombea radhi humu kuwa ana haki ya kimsingi kama binadamu kuwa alivyo, wale wanaojua kuwatunza hawa watusaidie.

kuna wakati hivi vichwa vinatokezaga ujinga, dawa tuwasaidie, kama hawasaidiki, kazi ni ile ile, kuwasifia na kuwaonyesha wapo kama tunapombembeleza mtoto, huku sisi tukiendela na shughuli za taifa.

Huu ni wakati wa anayeona mbali kugusa wanaotutea mbele ya mafisadi kweli? Wakati huu ambao CCM wanataka kuvuna kila kilichopo halafu eti tubaki sasa huku kuwaza na kuchangia madhaifu ya Zitto na Mbowe?
Ukitaka kujua mataaahira ni wengi, wanaopambana na mafisadi huku JF wengine wanaishi zao ughaibuni, wala watoto wao hawasomi hapa, halafu sisi tunaotetewa tupo hukuhuku tunarudisha gurudumu nyuma, ndo maana mimi naita hii hali kwa nguvu utaahira...! Shame upon me, when I dont seen beyond my nose, for my children will not seen the nose.

Jamani saidieni kufundisha hapa, kundi hili pia ni kubwa. wana blog zao za mambo ya mapenzi, urembo, mpira, udaku ...sijui wamepotea njia wakaja huku au?,

Moerataor atanisamehe kama nimetumia lugha mbaya, lakini hivi vichwa vya namna hii ndo wale mwl wetu alikuwa anawachapa sana schuleni, lazima urushe mawe kwa nguvu ngáa mishipa ya fahamu iliyoziba ifunguke.
 
Hee, I never knew that this boy is as cute as this. Why is he in politics then? Yani namuonea huruma. Sasa hawa mafisadi si watamzuru?

Halafu Paparazi Muwazi acha ushambenga. Weka hoja tukuelewe

Asha
 
nilisikia baadhi ya wanachama wa chadema kwamba magandwa wanaavaa chadema ni ghali na hayanunuliki na wanachama wenye kipato kidogo . kama ni kweli jee kwanini wabuni mavazi yenye gharama kubwa hivyo?
ikumbukwe fedha zinazopatikana na kuuza magwanda hayo zinasaidia kuendesha chama! na kama hauymudu unaweza kununua kofia au kanga ya Chadema. Kwa sasa chama hakina uwezo wa ku-subsidize magwanda hayo
 
jee kwa maana ni chama ghali?
we kwenda zako nenda kavae kanga kwani kuna tatizo gani? kama Kikwete amekuwa madarakani akashindwa kupunguza gharama za uzalishaji Chadema wakiwa hawana serikali wataweza vipi? CCM wana ruzuku kubwa na Wafanyabiashara hununua magwanda kwa ajili ya kusambazwa bure! Na kwa CUF wao huvaa kofia na vikoi vya misikitini ambayo si sare rasmi ya chama ila uislamu
 
Malaria Sugu. Kwanza nakupongeza kwa kutumika ipasavyo.
Pili zile combat za Chadema sio uniform ni chaguo tuu.
Sasa Watanzania wamesha zinduka hizo cheap T-shirt na kofia zenu za bure mwisho wake ni October 31, watu watavaa hizo fulana na kofia lakini kura wanajua watapiga wapi, hawadanganyiki tena baada ya kuona nuru ya kweli ya ukombozi wa Mtanzania imechomoza.
 
Malaria sugu hujapimwa tuu ujue kinachokusumbua? hiyo siyo malaria kipo kitu kingine wewe! kazi kufuata fuata vyama vya wenzako. nenda kwa marini hassan marini mkamlambe miguu kikwete
 
nilisikia baadhi ya wanachama wa chadema kwamba magandwa wanaavaa chadema ni ghali na hayanunuliki na wanachama wenye kipato kidogo . kama ni kweli jee kwanini wabuni mavazi yenye gharama kubwa hivyo?

Kweli malaria inaua kuliko ukimwi!
 
Jamani MS; ile sio vikoi vya Misikitini, wala nguo nyepesi za kijani za sh 500 zile (sagula sagula). Yale ni mavazi maalum kwa ajili ya watu maalum. Hata gari ukigonga nyeusi ni tofauti na kugonga silver (gharama za matengenezo kutokana na rangi zake). Ebu ziangalie vema utajua kama huna elf 50 huvai; sio lazima kila mtu avae gwanda; kuna kofia za bei nafuu na tshirt; so go for it maana kwanza hugombei; wale ni sawa na maharusi lazima wawe specially; umezoea sana chunvi,viberiti na sabuni za bure/nafuu ili uipigie CCM eeh. Maswali mengine ni useless; nimeeleza mambo mengi hope im wasting time here with mgonjwa
 
Zamani tulikuwa tunaambiwaje kweli kama huna akili.... Kama Pumbaaa..... fu vile!

Ah samahani ndugu yangu Malaria (ni uzee tu ndo unakusumbua)
 
Back
Top Bottom