Magumu gani umeyapitia/unayapitia katika kutafuta kazi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magumu gani umeyapitia/unayapitia katika kutafuta kazi?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by tindikalikali, Aug 14, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Wana Jf habari zenu. Poleni na majukumu ya kila siku. Nianze kwa kusema Watanzania wengi tumetawaliwa na kasumba ya kuajiriwa, hii imesababishwa na vitu mbalimbali ambavyo vinafahamika. Kuna watu nimewashuhudia wakiwa na miaka mpaka 3 wakiwa hawajapata kazi. Kuna jamaa kaniambia kafanya applications zaidi ya 100 na hajawahi itwa hata interview moja. Japo kuna wanaopata kazi moja kwa moja, lakini ni wangapi? Naombeni uzoefu wenu, mliofanikiwa>mlitumia mbinu gani? Ambao bado mnasota>huwa mnakwama wapi? Nahitaji mawazo yenu licha ya kwamba ajira ni chache na lazima wengi wakose ili wachache wapate.
   
 2. S

  Sanga n. Member

  #2
  Aug 14, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukosefu wa mitaji ndo sababu tosha.

  Mtu anaweza kuwa na idea nzuri ya kuanzisha NGO yake.
  Lakini kuna gharama za kufungua ofisi na samani zake.
  Kuna fedha ya kuandikia proposa, katiba na kuonana na wakili kwa ajili ya ufafanuz wa katba yake na mapungufu yaliyomo.
  Wakat huo huo hakuna uhakika kwamba wadhamin wataikubali au la, na baada ya muda gani.
  Kujiari ktk biashara inahitaji mtaji. Fresh graduate hawezi kupata hata mkopo benk kutokana na masharti magumu.

  Nakushukuru kwa kuexpose mada ambayo ni sensitv inawagusa vijana wengi.
   
 3. kimaus

  kimaus JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Yeah, ni kweli hata mimi naamini mtu huwezi kuwa tajiri kwa kuajiriwa, lakini ndo km alivyosema mchangiaji aliyepita, nina idea ya kuanzisha biashara, lkn capital ni tatizo, kwa inabidi niajiriwe ili nipate mtaji. Na elimu yetu haituandai kuwa entrepreneurs. Ukiongeza kujuana ktk ajira, tatizo linakuwa kubwa.
   
 4. D

  Daty Senior Member

  #4
  Aug 17, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ili nitatizo kumbwa sana nina miaka 2 sasa natafuta kazi na nimeandika application hadi nimechoka. Naitwa kwenye interview hadi nimechoka
   
 5. Qulfayaqul

  Qulfayaqul JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2011
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 471
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mimi nadhani hii ni operation sidhani kama kuna graduate ana mtaji ni ngumu
   
 6. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  pole mkuu, mi ndiyo kwanza naingia mtaani.
   
 7. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  shule yenyewe weng tumepita kimagumashi, mtaji utatoka wapi?
   
 8. t

  toyoyobig Member

  #8
  Aug 17, 2011
  Joined: Jan 16, 2009
  Messages: 22
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu KUNA MAGUMU MENGI SANA KWENYE KUTAFUTAKAZI. TENA NI MBAYA SANA KAMA UNAFAMILIA MIMI NILIKUWA SINA KAZI FOR A YEAR MKEWANGU ALIKUWA ANAKAZI BAHATI NILIYO NAYO NI KWAMBA MY WIFE TUNAELEWANA NA KUHESHIMIANA SANA SIKUWAHI KUJISIKIA KUNYANYAPALIWA. ILA IS A VERY BAD EXPERIANCE IN LIFE, NI A AFADHALI BABA AWE NA KAZI.

  ILA NILIKUJA GUNDUA KITU KIMOJA. SIO HALI YA KAWAIDA MTU KUKOSA KAZI FOR MORE THAN A YEAR SOMETIMES HUWA NI KAZI YA IBILISI SHETANI NA WANACHAMA WAKE. MIMI NIMEYASHUHUDIA HAYA NINAYO YASEMA KWANGU MWENYEWE NA KWA RAFIKI ZANGU ZAIDI YA WATATU.

  USHAURI WANGU JITAIDI SANA KUOMBA KWA MUNGU AKUFUNGULIE MILANGO YA KAZI, PIA HUDHURIA SANA MAOMBI NA MAOMBEZI MUNGU NIMWAMINIFU SIKU ZOTE. HAKIKA UTAPATA KAZI BILA WASIWASI. MIMI BAADA YA KUSOTA FOR A YEAR AND HALF HUKU NINA DEGREE YA BBA NA MASTERS YA FINANCE PAMOJA NA WORKING EXPERIANCE YA 3YRS HAPA BONGO NA ABROAD, NILIKUWA KARIBU SANA NA MUNGU NILIKUJA PATA KAZI BILA HATA KUTUMA CV NILIKUTA NAPIGIWA TU SIM KWAMBA NIENDE KWA INTERVIEW NAKUPATA KAZI 3 WEEKS AFTER THAT. SO DONT BE DISCOURAGED TRUST AND HAVE FAITH IN GOD. WACHAWI WATU WABAYA SANA, NA HAWANA MAANA KABISA.
   
 9. A

  Agrodealer Senior Member

  #9
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu mdau kikubwa ni mtaji wala tusiilaumu elimu yetu kwamba haituandai mana kila mtu amesomea kile alichokiona kinamfaa na kinauzika.
  Wengine wametoka vyuo vinavyopika maswala ya ujasiliamali. Kiukweli tunataabika mana level ya degree leo mm naona ni sawa tu na fm4 tena feilure kwa jinsi tuliyojaa mtaani. magumu ninatopata ni kwamba ukiingia office ukasema unatafuta kazi kwanza wanacheka wanasema tatizo sisi tumesoma tukijua tutaajiriwa badala tujiajir. Sasa tunajiajir na nini ada yenyewe mzee alikua anatamani utunukiwe umuache????? Wizi mtupuuu
   
 10. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mh hakika kutafuta kazi ni kazi
   
 11. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  ikiwa na uchawi umo ndani, kwa kweli ni shida.
   
 12. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu kazi ni ngumu cku hizi, hata mi nilisota kdg, mwombe sana Mungu kwa imani yako. Ikibidi funga, mtaani kugumu ati. Mimi niliattend interview 3 ktk ofisi nyeti nchini lakini sikuitwa ila nilijaribu sehemu ya 'kawaida' nikapata. usikate tamaa.
   
 13. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #13
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Wakuu asanteni sana kwa kututia moyo tunaosota.
   
 14. M

  Mtized one Member

  #14
  Aug 19, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau....mmenikumbusha jaman hii dunia na walimwengu tabu tupu.....niliona advat ya kaz kwa gazeti nika aply,cku naiwakilisha letter yangu..nimenyonga tai kama sina shida vile..huku jicho la huruma,mwendo wa komfidenc..nikaifikisha kwa mpokeaji yule dada achatu...alichukua bahasha yangu kwa hasira na kunitimua utafikiri nilimshika tt, akasema "leta hapa na uishie haraka"
  hata salam hakuitikia nikawa mpole nakuwaachia ofc yao...huyoo nikasepa.
   
 15. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #15
  Aug 20, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  vipi uliitwa kwenye interview?
   
 16. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mungu mkubwa atusaidie!!!
   
 17. s

  sirmudy JF-Expert Member

  #17
  Sep 4, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35

  Hao masecretary ndio zao......, tena basi wanavyojidai, utadhani wana elimu kubwa, kumbe wailo wengi ni form7 leavers na vijikozi vyao usecretary....... Mara nying ukiona kafanya hivyo, ujue hakutolewa lunch na boss...!
   
 18. s

  sirmudy JF-Expert Member

  #18
  Sep 4, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35

  Uchawi upo, kama huamini angalia movie za kinigeria, ile ni kweli kaka..!
   
 19. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #19
  Sep 4, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  dah ka sio ajira ya serikalini cjui ningekuwa wapi?? Kuna mhindi mmoja aliniita kwenye interview akaniletea dharau na frustration zangu nikampiga kichwa nililala kituo cha usa siku mbili sitasahau
   
 20. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #20
  Sep 4, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mimi nilianza kazi kama secretary maana nilikosa kazi ya fani yangu, lakini nilikuwa secretary wa plant manager,imagine kuona wenzangu wakifanya kazi za staili yao wakija kunipita I felt bad, lakini Mungu si athumani baada ya miezi 3 ikatokea nafasi nikapata na mpaka sasa ndio nimetoka kwenye operations niko kwenye strategic planning zaidi

  Usichague kazi kama huna kazi, pia kila mwaka mwezi wa 4 kuna career fair Uni of dar
   
Loading...