Magufuri ulihapa kulinda katiba na sheria za nchi, hivyo ikatae amri ya Pinda. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magufuri ulihapa kulinda katiba na sheria za nchi, hivyo ikatae amri ya Pinda.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Byendangwero, Mar 7, 2011.

 1. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tangu arejeshwe kwenye wizara yake ya zamani mh. Pombe Magufuliamekuwa akitamba ya kuwa atakuwa akisimamia matakwa ya sheria bila ya kumuonea haya mtu yeyote. Mwishoni mwa wiki iliyopita waziri mkuu Pinda alitangaza kufutwa kwa zoezi la bomoa bomoa ya nyuma zilizojengwa ndani ya hifadhi ya barabara. Kwakuwa agizo hilo linakinzana na sheria ambayo mh. Magufuli aliapa kuilinda, hana budi kukataa agizo hilo la Pinda kwa nguvu zote.
   
 2. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,666
  Likes Received: 21,892
  Trophy Points: 280
  Ndani ya CCM hayo hayawezi kamwe.
   
 3. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Hata Pinda atakuwa kaagizwa na Mkwere.
   
 4. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Kukataa kwake kunaweza kuambatana na Kujiuzulu ili kulinda heshima yake. Kama kweli anasimamia kile anachokisema na anaona kuwa anakwamishwa kutekeleza majukumu yake...
   
 5. m

  maselef JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kusimamia sheria kwa CCM haiwezekani. Mtu ukifanya kazi inavyotakiwa matatizo. Dr. Hosea hakukosea alipowambia Wikileaks ukweli
   
Loading...