USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 9,892
- 22,649
Hizi ni sifa za mboweSitaki kuwa MNAFIKI, kwangu Mimi Hayati Magufuli alikuwa na Sifa zifuatazo;
1. Mtu aliye nyang'anya TUNU ya UHAI ambayo Mwanadamu alipewa na MUNGU.
2. Mtu aliyekuwa na Kiburi na Jeuri.
3. Mtu mwenye UPEO Mdogo wa Kudadavua mambo, hasa ya Dunia ya Sasa.
4. Mtu mwenye wivu na husda na maendeleo ya MTU/WATU.
5. Mtu aliyetakiwa kuongoza zaidi ya Miaka 100 iliyopita hususani kwenye mambo ya Haki na Uhuru.
Samahani kwa wale ambao watakwazwa na mtazamo wangu.