Magufuli's turning out to be the "Trump of Africa"

Massivve

JF-Expert Member
Jun 4, 2015
274
368
Haya yamesemwa na Capt Collins Wanderi akihojiwa na NTV Kenya.
Je,kuna ukweli ama ni fyokofyoko za hawa jamaa?
Akumbuke Rais wetu hajaribiwi

IMG_0963.JPG

IMG_0965.PNG
 
Haya yamesemwa na Capt Collins Wanderi akihojiwa na NTV Kenya.
Je,kuna ukweli ama ni fyokofyoko za hawa jamaa?
Akumbuke Rais wetu hajaribiwi

View attachment 488521

View attachment 488522

I am a businessman and do business in Kenya, Uganda, and Rwanda and have NEVER heard of this fool above. This is the first time I hear of this guy which means he is NOT important to anybody but to whoever listens and knows him. Why should people care for his inputs?
 
Haya yamesemwa na Capt Collins Wanderi akihojiwa na NTV Kenya.
Je,kuna ukweli ama ni fyokofyoko za hawa jamaa?

The answer is: Kenya wanapenda chokochoko sana.
  • Media za Kenya zinapenda majibizano baina ya nchi
  • Kenya haipendi kuona nchi nyingine za Jumuia ya Afrika Mashariki zikifanya vizuri na kuwapiku, watakacho fanya ni kuwatungia na kuwasingizia mambo mabaya
 
Performance ya Magufuli inampa kiki Raila Odinga and vice-versa! Makada wa Jubilee na Uhuruto government lazima wamzungumzie sana Magufuli mpaka uchaguzi utakapofanyika

Mark Hilary
Umeona eeh napenda watu wanaotumia akili kama wewe UDUMU
 
The answer is: Kenya wanapenda chokochoko sana.
  • Media za Kenya zinapenda majibizano baina ya nchi
  • Kenya haipendi kuona nchi nyingine za Jumuia ya Afrika Mashariki zikifanya vizuri na kuwapiku, watakacho fanya ni kuwatungia na kuwasingizia mambo mabaya
Akikosolewa na wakenya mna sababu,wazungu mnasema kisa mchanga ,watz tukimkosoa tunauza unga Mara nyumbu chadema kila jina baya,
Swali mnataka ajikosoe mwenyw ama??
 
Kumlinganisha Raisi Magufuli na Trump kunaonesha huyu jamaa akili hazimtoshi. Donald Trump ni kama Mangekimambi ni wazuri kwenye twitter au instagram.
 
hawa ni watu wawili tofauti mzungu na mwafrika kimtizamo hawafanani ,tuangalie sentensi hizi kwa mtizamo tofauti na huyu alietoa tamko ni nani ,nani wako nyuma yake kwa tamko hili. nini agenda ilojificha ndani yake ,kwanini sasa tamko hili sio jana.
 
wanufaika fulani wa kenya lazima wawe mad na MAGUFULI kwa kukataa mkataba wa EPA. pengine hata kupeperusha bomba la mafuta .. THATS ALL.
 
Haya yamesemwa na Capt Collins Wanderi akihojiwa na NTV Kenya.
Je,kuna ukweli ama ni fyokofyoko za hawa jamaa?
Akumbuke Rais wetu hajaribiwi

View attachment 488521

View attachment 488522
Ni vice versa - aliyeaanza ni Magufuli. Trump alikuja nyuma. Give credit where credit is due.

Waswahili wanasema duniani wawili wawili (hata Kama science itasema vinginevyo, DNA and all). Nina uhakika kwamba hao wamefanana kasoro rangi ya ngozi, ila Trump ana advantage ya kuishi marekani. Kama jua na mwezi hupatwa basi hutokea like minds zikatawala different parts of the world at the same time.
 
Mimi nimesoma 'with interest' tweet ya Collins kwamba "TZ isn't a very developed economy" implying that Kenya is! Wapo baadhi ya Wakenya wako na kasumba hii toka enzi za ukoloni. While it is true that Kenya's GDP is higher than Tanzania's, it's only a question of time before the latter catches up. Hata hivyo point yangu ni kwamba ni sawa na mgonjwa aliyelazwa hospitalini anayejiona mzima kwa kumtazama mgonjwa mwenzake aliyezidiwa kidogo zaidi. Ukweli ni kwamba uchumi wa Tanzania na Kenya hautofautiani saana kiasi hicho. Ni nchi ambazo ziko kundi moja.
 
Back
Top Bottom