Magufulification of Lake Victoria

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,214
3,587
Tz inamiliki 49% ya ziwa Victoria, Uganda inamiliki 45% na Kenya inamiliki 6%.

Legacy ya JPM inaishi ziwa Victoria, EAC na GLR.

 
Meli ya ukubwa kama huu au hata zaidi inafaa sana kujengwa ili kutoa huduma kwenye ziwa Tanganyika. Kwenye ziwa Tanganyika kuna kilometa karibu 700 kutoka Kigoma Port hadi Mpulungu Zambia, mwendo wa masaa 10 na zaidi. Kutoka Kigoma Port hadi Bujumbura Port kilometa 180 masaa 3 na zaidi. Kutoka Kigoma Port na kigoma Port hadi Kalemie DRC.
Abiria na mizigo inayosafirishwa kwenye ziwa lile na wingi wake ni fursa kubwa ya kiuchumi kwa taifa lakini ni hatarishi kwa maisha na mali za wananchi.
 
Back
Top Bottom