Magufuli was very right; Pinda nenda Mkuranga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magufuli was very right; Pinda nenda Mkuranga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MIGNON, Mar 23, 2011.

 1. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,586
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Nimekwenda na kurudi Mtwara katika wiki moja iliyopita.
  Magufuli alikuwa sahihi katika kuhamasisha kuvunjwa nyumba zilizojengwa katika hifadhi ya jamii.
  Namuomba Mh.Pinda aende Mkuranga ajionee jinsi mkongo wa taifa ulivyopinda na kukwepa nyumba za watu.
  Nimearifiwa kuwa katika kijiji cha Magubike (Kilosa) mkongo umepitia ndani ya baa mojawapo.
  Magufuli inawezekana una makosa lakini kwa hili la bomoabomoa ulikuwa sahihi.
   
 2. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Siasa mbele,
  Maendeleo nyuma.
   
 3. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #3
  Mar 23, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Alikuwa sahihi kisheria, but approach aliyotumia ilikuwa wrong politically...
   
 4. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kinachotangulia kipi? Law au Politics? Kiapo chake kilikuwa kipi? unakumbuka maneno aliyoapa? sidhani kama alitoa ahadi ya kulinda siasa ya nchi bali sheria ya nchi. Upo hapo mkuu wangu?
  Hivyo approach aliyotumia ndio sahihi!
   
 5. fangfangjt

  fangfangjt JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2011
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 571
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  mambo hayeleweki kabisaaaaaaaaaaaa......siamini CCM wamejisahau kiasi hiki, mpaka kuanzia ngazi ya SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, ngazi ya Chama na UVCCM ( pamoja na wanawake wao) wanafanya mambo ya ajabu namna hii tena hadharani.

  nahisi kama vile kuna viongozi CCM wana mkakati mkali wakuhakikisha kuna kikundi fulani hakikamati nchi (ili kuepusha janga fulani walijualo wao) kwa kuangamiza/kusambaratisha chama kwa namna yeyote ile.

  haiingii akilini matendo yao yanasaidia vipi chama kwa jinsi mambo wanayoyafanya, ukizingatia yana dhoofisha zaidi chama hasa katika jamii ambayo wanaitegemea kukiweka chama hicho madarakani.
   
 6. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dunia inaharibiwa na siasa. Duniani kote, wanasiasa wanapindisha ukweli kwa manufaa yao kisiasa kwa nchi au wao binafsi. Leo hii Marekani imevamia Libya kwa maufaa ya kisiasa za nchi lakini JK amepindisha hii ya magufuli kwa manufaa ya kwake binafsi na siyo nchi. Hapo ndipo tofauti za masilahi ya siasa kwa wanasiasa wa nchi zilizoendelee na zinazoendelea. Kama Sam Nujoma walivunja mpaka sehemu ya Kanisa la Kokobe, kwa zoezi hili lisieendelee moro rd. Ni vema siasa zikatumika kwa masilahi ya taifa na sio mwanasiasa au wanasiasa binafsi.
   
 7. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,717
  Likes Received: 1,627
  Trophy Points: 280
  kAMA KUMBU KUMBU inaanza kuwatoka , Magufuli hakuwahi kuwa kwenye Mtandao wa waliomsaidia kumweka JK madarakani, hivyo kufuatana na utendaji wake wa Tangu awamu ya nne aliona akimwacha itakula kwakwe watu watasema askari wa mwavuli kaachwa, alihofu kuitwa mbinafsi kwa kutomweka katika wizara mbari mbari angalau alichagliwa na kupewa wizara ambayo awali haikuwepo ni wizara ya minofu lakini kama kawaida ya JPM hakuona noma uliona alivyofanikisha nyafu haramu, kukoma, kukamata meli za uvuvi haramu katika Ziwa na Bahari, hivyo basi bado hali haikuwa shwali kwa CCM kwani CCM kama chama kikuu ndipo kinamadaraka ya kila kitu ndio mara nyingi watendaji wao ndio wasimamizi wakuu wa serikari, ikiwa hawa watendaji amabo wako karibu na watu wanaona watu wanakiuka mipaka na kujenga holela au kusogeza mipaka mpaka eneo lisiloruhusiwa kama hifadhi ya barabara nani wa kulaumiwa, mimi naonawatu hawa waondolewe na watendaji wote waliokaribisha hizi zogo waondolewe haraka wawape wenye uwezo , sio unafanya huarifu kwa kisingizio chakuogopa kunyimwa kula, hata CDM ikichukua madraka uozo huu haukubaliki, naishia kwa kusema kuwa JK kusema kuwa JPM ni mbabe sio sahii kabisa kwani anamvunja moyo na kumdharirisha, kazinayoifanya ni kwa maendeleo ya watu millioni Arobain si kwa wapigakura millioni nane tu
   
 8. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Magufuli ni mbabe sawa nakubali, na Kikwete ni mbabe zaidi, ila Pinda ni mbabe wa chinichini, ccm wote ni wababe na mfumo wa chama tawala ni wa kibabe, hata sitta alikuwa mbabe bunge la tisa, spika makinda mbabe, yes wote ni wababe katika maeneo yao, na tanesco nao ni wababe vilevile, nchi inaendeshwa kibabe, hata cdm wanafanya maandamano yao ya amani pamoja na mambo mengine kwa ubabeubabe tu, huku wakipinga ubabe wa chama tawala. Katika ngazi ya familia wanaume ni wababe kwa wake zao, na wazazi ni wababe kwa watoto wao, everywhere ubabe tu. JF nako kuna wababe wengi tu, natoa wito kwa wababe wote nchini tz "acheni ubabe" full stop!
   
 9. e

  emalau JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2011
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 180
  mchekechoni, inaonekana umekasirika mzee
   
 10. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,586
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Mantiki ya thread nliyo post leo asubuhi ilikuwa kuonyesha jinsi ambavyo ujenzi holela unavyoathiri vitu muhimu kama mkongo wa mawasiliano.Pinda alikuwa mtu wa kwanza kumtuliza magufuli nami kwa macho yangu nimeona mfano dhahiri hapo Mkuranga.
  MBONA wachangiaji mnakwenda kusiko,nahisi watu hawasomi kwa makini,tunashusha hadhi ya jamvi nduguzangu!!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...