Magufuli: Wapinzani wanawaza Ipo Siku Watatawala, Wasahau

Rais magufuli akihutubia kwenye maadhimisho ya miaka 39 ya CCM amesema "Kama kuna chama kina ndoto ya kutawala nchi hii wafute ndoto hiyo''.

Maana hakuna mtawala anayependa kutawaliwa,ameenda mbali na kusema. Hawa wenzetu wapinzani wanawaza ipo siku watatawala nchi hii wasahau hilo.

Dah nimejiuliza ina maana hata hao wapinzani wakishinda kwenye box waendelee kusahau? Nimeanza kupata picha ya kule visiwani,Pole sana Maalim.


Kuitamka demokrasia ni jambo moja,Kuitekeleza ni jambo jingine-Kagame
Ni kweli kabsa maana hata uchaguzi wa juzi Lowasa alishinda wakamchakachua, sasa ametoa ya moyoni kuwa ccm itatawala milele mpaka baada ya miaka 100 ndipo wengine watapewa nafasi.
 
kama nyi mnamsikiliza huyo kiongfozi wenu malumumba mmepotoka
hii nchi ni watz .,nawao waTZ ndo wanaamua hapa huyu pombe
ameanza kujilevya na madaraka nayeye ashaanza kuandaa mazngra ya kutawala milele???
hivi ushawahi kujiuliza kwanini mkwere alisema ntalala usingiz jpm akiwa rais,...
unajua haya mambo lazma ujiulize kma mwananchi wa kawaida hawa ccm watatawala hadi lini???
kikwete mzee kwahiyo tutakuja tena kutawaliwa na watoto zao????miaka ya baadae na kwanini iwe hivyo???
je hamna watz wenye uwezo wa kuongoza au ndo kutetea maslahi baada ya wizi wa rasilimali za wananchi


Unataka kuweka picha kama vile CCM inamilikiwa na mtu binafsi au familia kama chadema, wakati siyo kweli CCM ni Mali ya Watz, ni mtoto wao wamemzaa, wamlea na sasa amekuwa wakati chadema ni mali ya Mtei ameizaa, ameilea na ataamua ni nani amuachie siku zake zikiisha!

Hivyo basi kwa kuwa CCM ni mali ya Watz ina maana Mtz yoyote yule mwenye sifa anaweza kuwa Kiongozi CCM rejea Raisi Magufuli alikuwa Mwalimu tu wa Sekondari leo hii ni Raisi wa nchi ya JMTZ, hata Kikwete mwenyewe hatokei ukoo wa kitajiri na maelite bali ni Mtz wa kawaida ambaye amekulia CCM na leo hii ni Mwenyekiti wa CCM, angalia watu wenye vyeo vikubwa CCM halafu uniambie kama ni maelite kizazi cha ngapi, lkn njoo chadema, nipe stori kama hizo chadema nitajie Viongozi wa chadema ambao ni masikini yaani walioanzia from nothing to the TOP nitajie mmoja TU ili upate uhalali wa kusema CCM wanataka kutawala milele.


Kwa maana kama kuna yoyote yule mwenye kila dalili za udikteta na kujilimbikizia Uongozi na Madaraka ni chadema, Mbowe ni Mwenyekiti wa Chama na pia na Mkuu ya Upinzani Bungeni na Mtoto wa mwanzilishi wa Chama Mzee Mtei yaani kaoa kwa Mtei, sasa ni nani kati ya CCM na chadema wanastahili kuitwa Chama cha kidikteta?

Kama tu Mbowe amekuwa Mwenyekiti wa Chama bila hata ya uchaguzi na ndiyo anaamua nani agombee Uraisi na asingombee je akiwa Raisi wa nchi kuna dalili yoyote ile ya yeye kuachia madaraka?

Ninaweza kukutajia ni lini kutakuwa na Uchaguzi CCM wa kuchagua Mwenyekiti wa Chama nitajie ni lini kutakuwa na Uchaguzi chadema wa kuchagua Mwenyekiti wa chama!

Angalia CCM Kikwete anaaga hivyo anaondoka anaingia mwingine, haya niambie Mbowe anaondoka lini? Ameongoza Chama kilichoshindwa uchaguzi mara tatu, kidemokrasia Dunia nzima Viongozi hujiuzulu punde chama wanachokiongoza kinaposhindwa sasa Mbowe kashindwa mara tatu na bado leo hii anasimamisha makende yake Bungeni eti anaunda Baraza la Mawaziri Kivuli, analipi jipya? Ni nani dikteta kati ya CCM na chadema?


Angalia Uongozi wa CCM ni sura ya Watz wa nchi nzima, Kikwete anatoka Bagamoyo, Kinana - Arusha, Nape - Mtwara/Lindi, mwingine Iringa ukija kwenye Halmshauri Kuu ya CCM ni sura ya nchi nzima sasa njoo chadema nitajie viongozi wake na wanatoka wapi?
Asilimia zaidi 85 ya viongozi wanatoka eneo ambalo halifikishi hata asilimia 10% ya WatanZania wote halafu unathubutu kuita CCM Chama cha kidekta? Kuna udikteta zaidi ya chadema?
 
Za
Kwa Kauli Ya Huyu Mnaye Muita Rais,
Kuna Haja Ya Yale Ya Tunisia, Misir, Libya na Syria,jiandae Kuua Wengi Mwaka Huu Maana Kauri Hii Itawatbu CUF Zanzibar
zanzibar kuna Utawala wa kidikteta sasa maana mshindi wa halali kaachwa anahangaika mtaani.
 
Mw
Unataka kuweka picha kama vile CCM inamilikiwa na mtu binafsi au familia kama chadema, wakati siyo kweli CCM ni Mali ya Watz, ni mtoto wao wamemzaa, wamlea na sasa amekuwa wakati chadema ni mali ya Mtei ameizaa ameilea na ataamua ni nani amuachie siku zake zikiisha!

Hivyo basi kwa kuwa CCM ni mali ya Watz ina maana Mtz yoyote yule mwenye sifa anaweza kuwa Kiongozi CCM rejea Raisi Magufuli alikuwa Mwalimu tu wa Sekondari leo hii ni Raisi wa nchi ya JMTZ, hata Kikwete mwenyewe hatokei ukoo wa kitajiri na maelite bali ni Mtz wa kawaida ambaye amekulia CCM na leo hii ni Mwenyekiti wa CCM, angalia watu wenye vyeo vikubwa CCM halafu uniambie kama maelite kizazi cha ngapi, lkn njoo chadema, nipe stori kama hizo chadema nitajie Viongozi wa chadema ambao ni masikini yaani walioanzia from nothing to the TOP nitajie nitajie mmoja TU ili upate uhalali wa kusema CCM wanataka kutawala milele.


Kwa maana kama kuna yoyote yule mwenye kila dalili za udikteta na kujilimbikizia Uongozi na Madaraka ni chadema, Mbowe ni Mwenyekiti wa Chama na pia na Mkuu ya Upinzani Bungeni na Mtoto wa mwanzilishi wa Chama Mzee Mtei yaani kaoa kwa Mtei, sasa ni nani kati ya CCM na chadema wanastahili kuitwa Chama cha kidekteta?

Kama tu Mbowe amekuwa Mwenyekiti wa Chama bila hata ya uchaguzi na ndiyo anaamua nani agombee Uraisi na asingombee je akiwa Raisi wa nchi kuna dalili yoyote ile ya yeye kuachia madaraka?

Ninaweza kukutajia ni lini kutakuwa na Uchaguzi CCM wa kuchagua Mwenyekiti wa Chama nitajie ni lini kutakuwa na Uchaguzi chadema wa kuchagua Mwenyekiti wa chama!

Angalia CCM Kikwete anaaga hivyo anaondoka anaingia mwingine, haya niambie Mbowe anaondoka lini? Ameongoza Chama kilichoshindwa uchaguzi mara tatu, kidemokrasia Dunia nzima Viongozi hujiuzulu punde chama anachokiongoza kinaposhindwa sasa Mbowe kashindwa mara tatu na bado leo hii anasimamisha makende yake Bungeni eti anaunda Baraza la Mawaziri Kivuli, analipi jipya? Ni nani dikteta kati ya CCM na chadema?


Angalia Uongozi wa CCM Watz wa nchi nzima Kikwete anatoka Bagamoyo, Kinana -Arusha, Nape Mtwara/Lindi, mwingine Iringa ukija kwenye Halmshauri Kuu ya CCM ni nchi nzima sasa njoo chadema nitajie viongozi ake na wanatoka wapi?
Asilimia 85 ya viongozi wanatoka eneo ambao halifiki hata asilimia 10% ya WatanZania wote halafu unathubutu kuita CCm Chama cha kidekta? Kuna udikteta zaidi ya chadema?
mwaka huu Chadema walishinda uchaguzi lakini ccm wamechakachua matokeo
 
Sasa si mfute tu vyama vingi mbaki wenyewe?
Kule zanzibar mmeachiwa nchi na cuf na bado mnalia lia badala ya kufurahia ushindi wa mezani.
Cccm watakaa madarakani milele hakuna kutoka mpaka ipite miaka 100
 
Ulitegemea asemeje????? Tena siku ya maadhimisho ya KUZALIWA chama!!!! Ulitaka aseme UKAWA watachukua nchi 2050???

Queen Esther
 
Mw

mwaka huu Chadema walishinda uchaguzi lakini ccm wamechakachua matokeo



Kusema kila mtu anaweza, kinachomata mwisho wa siku ni ushahidi, Je Ushahidi uko wapi?
ukawa/chadema wameshinda Majimbo chini ya 80 wakati CCM imeshinda zaidi ya 200 hivyo basi hata tukitoa uchaguzi wa Uraisi ambao hamuukubali na kutumia wa Ubunge ambao mnaukubali tukaenda mbele ya Dunia na kuanza kutafuta usuluhishi wa nani mwenye uhalali wa Kuongoza nchi nia nani atasikilizwa? Aliyeshinda zaidi ya viti 200 au aliyeshinda viti chini ya 80?
 
ccm

itakuwa madarakani zaidi ya miaka 100


Hata kama ni 500 ni sawa tu kwa maana CCM ni Chama cha kidemokrasia ambacho Viongozi wake wanapatikana kwa njia ya Kidemokraisa na ya wazi, na ni cha Watz na kina Sura ya Watz hivyo basi ni Watz ndiyo wanatawala!
 
Unataka kuweka picha kama vile CCM inamilikiwa na mtu binafsi au familia kama chadema, wakati siyo kweli CCM ni Mali ya Watz, ni mtoto wao wamemzaa, wamlea na sasa amekuwa wakati chadema ni mali ya Mtei ameizaa ameilea na ataamua ni nani amuachie siku zake zikiisha!
hey we juha
CCM ameanzisha nani????na hadi akawa anapanga list
muasisi alipanga akitoka mwinyi anakuja flani,akitoka huyo flani then flani na kuendelea
think deep
usiwe na hoja finyu kma bongo zenu lumumba zilivyo
 
Hivyo basi kwa kuwa CCM ni mali ya Watz ina maana Mtz yoyote yule mwenye sifa anaweza kuwa Kiongozi CCM rejea Raisi Magufuli alikuwa Mwalimu tu wa Sekondari leo hii ni Raisi wa nchi ya JMTZ, hata Kikwete mwenyewe hatokei ukoo wa kitajiri na maelite bali ni Mtz wa kawaida ambaye amekulia CCM na leo hii ni Mwenyekiti wa CCM, angalia watu wenye vyeo vikubwa CCM halafu uniambie kama maelite kizazi cha ngapi, lkn njoo chadema, nipe stori kama hizo chadema nitajie Viongozi wa chadema ambao ni masikini yaani walioanzia from nothing to the TOP nitajie nitajie mmoja TU ili upate uhalali wa kusema CCM wanataka kutawala milele.
kila mtu na historia yake ndugu ustake historia zifanane
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom