Magufuli: Wanaomiliki ardhi kubwa bila kuendeleza wajiandae kurudisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magufuli: Wanaomiliki ardhi kubwa bila kuendeleza wajiandae kurudisha

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by jingalao, Sep 5, 2015.

 1. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2015
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 21,064
  Likes Received: 12,202
  Trophy Points: 280
  Hii ni meseji kwa Sumaye na mafisadi wengine wanaohodhi ardhi bila kuziendeleza wajiandae kuzirudisha.

  #hapakazitu
   
 2. malingoti

  malingoti Member

  #2
  Sep 5, 2015
  Joined: Sep 15, 2013
  Messages: 36
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kachelewa
   
 3. Kibo10

  Kibo10 JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2015
  Joined: Aug 20, 2013
  Messages: 11,260
  Likes Received: 3,458
  Trophy Points: 280
  Aanze na mkapa kama jasiri kweli,Na ikulu yenyewe haingii lakini keshaanza kujipa mamlaka.Huyu mzee sio mzima
   
 4. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2015
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 21,064
  Likes Received: 12,202
  Trophy Points: 280
  Kwani hajaendeleza?
   
 5. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2016
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 21,064
  Likes Received: 12,202
  Trophy Points: 280
  Humu JF HUWA TUNA TABIA YA KUWEKA KUMBUKUMBU...

  NAMSHANGAA SUMAYE ANAVYOLIALIA ETI ANAHUJUMIWA KWA KUWA NI MPINZANI.
   
 6. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2017
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 21,064
  Likes Received: 12,202
  Trophy Points: 280
  Sumaye tulikwambia ukadhani utani
   
 7. Jidu La Mabambasi

  Jidu La Mabambasi JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2017
  Joined: Oct 20, 2014
  Messages: 3,416
  Likes Received: 1,962
  Trophy Points: 280
  Sumaye ni kinyonga.
  Akumbuke alivyohamisha Chuo Kikuu cha Mandela toka Mbeya hadi Arusha.
  Hii ni licha ya Mandela kutaka Chuo kijengwe Mbeya, mahali alipofikia kwa mara ya kwanza Tanzania.
   
Loading...