jamiiyamtimkavu
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 274
- 192
Nianze kumpongeza mh Rais kwa kazi nzuri anayoifanya.
Ila, Kama mheshimiwa ataendelea na hii kasi ya kuficha hela zake sijui wapi. Ninahisi, idadi ya wagonjwa wa vidonda vya tumbo na maradhi yanayotokana na kutokula mlo kamili yataongezeka.
Binafsi sasa hivi nikiwa kazini sili mlo wa mchana(napiga pasi ndefu) kutokana na mzunguko wa fedha kuwa mdogo mno. Pia utaratibu wa kununua vimatunda kila nikirudi nyumbani hata vya buku 2 nimeacha. Sasa hali hii kama inawakuta wengi na itadumu kwa kipindi cha miaka kumi. Hii namba kwangu haisomeki ila naiona, haisomeki kwa kuwa imeandikwa kwa kichina. Wadau na nyinyi mmebadilisha aina ya vyakula na idadi ya milo? Naona wanaobeba hotpot kwenye magari asubuhi pia ni wengi au tayari wagonjwa washaongezeka?