Magufuli: Wafuasi wa CHADEMA mlango wazi kujiunga CCM, baada ya October hakuna fursa

Ubora

JF-Expert Member
Sep 27, 2015
664
255
Mgombea wa urais Dr Magufi amewataka wale wote walio na nia njema ya taifa hili watoke huko walipo na wajiunge na chama cha Ukombozi CCM ili kuendeleza harakati za maendeleo,wakati ni sasa kujiunga na CCM,baada ya october nafasi hiyo itafungwa.
 
yeye mwenyewe hana imani na hicho chama cha kifisadi sasa anamkaribisha nani? maana jamaa anajinadi mwenyewe utadhani mgombea binafsi
 
Haya maajabu makubwa sana, Magufuli mwenyewe yupo mguu mmoja ndani na mguu mwingine upo nje ya CCM, anaogopa hata kuitaja CCM majukwaani kwa sasa.
 
Ndio maana nampenda sana Magufuli ni mtu wawatu jana kinyongo karibuni ccm

safari ccm watatia akili, ule upuuzi uliokuwa ukifanywa na wabunge wa ccm walidhani watu watasahau. Ukweli ni kuwa sio kwamba watu wanamkubali EL kivile lakini ni kwamba tumeichoka ccm. Nasema hivyo kwani watu walijiandikisha kwa wingi ili kuitoa ccm madarakani kabla hata huyo El hajaja na hakuna aliyejua atakuja Ukawa. Mwambie Magufuli hata akiamua kupiga pushup mwanzo wa mkutano na kumalizia na kichura kura hapati yeye, wabunge na madiwani wake.
 
Mgombea wa urais Dr Magufi amewataka wale wote walio na nia njema ya taifa hili watoke huko walipo na wajiunge na chama cha Ukombozi CCM ili kuendeleza harakati za maendeleo,wakati ni sasa kujiunga na CCM,baada ya october nafasi hiyo itafungwa.

Mlango wa rehema utafungwa October
Ole wako utakaekuwa nje

Najua lowasa hataichezea nafas hii ya upendeleo
 
safari ccm watatia akili, ule upuuzi uliokuwa ukifanywa na wabunge wa ccm walidhani watu watasahau. Ukweli ni kuwa sio kwamba watu wanamkubali EL kivile lakini ni kwamba tumeichoka ccm. Nasema hivyo kwani watu walijiandikisha kwa wingi ili kuitoa ccm madarakani kabla hata huyo El hajaja na hakuna aliyejua atakuja Ukawa. Mwambie Magufuli hata akiamua kupiga pushup mwanzo wa mkutano na kumalizia na kichura kura hapati yeye, wabunge na madiwani wake.

Guess Huyu atakuwa amekunywa nn?
 
Mgombea wa urais Dr Magufi amewataka wale wote walio na nia njema ya taifa hili watoke huko walipo na wajiunge na chama cha Ukombozi CCM ili kuendeleza harakati za maendeleo,wakati ni sasa kujiunga na CCM,baada ya october nafasi hiyo itafungwa.

Huyu mgombea kituko kweli yaani mm niende ccm analikwale kweli huyu
 
Mgombea wa urais Dr Magufi amewataka wale wote walio na nia njema ya taifa hili watoke huko walipo na wajiunge na chama cha Ukombozi CCM ili kuendeleza harakati za maendeleo,wakati ni sasa kujiunga na CCM,baada ya october nafasi hiyo itafungwa.

Usipende kuwa unakurupuka

Aseme anafunga milango ili watu wasiondoke sio ili watu wasiingie.
 
Back
Top Bottom