Magufuli usimtupe Shein

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,745
Kusema Sheni ana ubavu wa kuendesha serikali na kuweza kuhudumia nchi itakuwa kujikaza kisabuni,sasa ni lazima Magu ajitayarishe kulipa mishahara ya serikali ya Zanzibar kuanzia mshahara wa sheni na wafanyakazi wake wote zanzibar nzima na pia kuhakikisha huduma zote na miradi ipo uptodate bila ya kusahau baraza la wawakilishi,kazi tu.
 
Namshauri Magufuli aachane na hao watu maana matatizo yao wameyatengeneza wenyew
1.Hawatak kujituma wakat wanapenda kuish maisha ya gharama, mawaziri 20,watu mil moja....????

2.Shein anangangania madaraka ambayo yanamzidi muda sio mrefu, hivi anadhani ataweza kuitawala pemba kwa mabavu?

3.Hakuna lolote wanalotusaidia Bara, na bado hatuwezi kuishi Zanzibar wala kununua ardhi kwao.......
Waende tu bwana....
 
Kusema Sheni ana ubavu wa kuendesha serikali na kuweza kuhudumia nchi itakuwa kujikaza kisabuni,sasa ni lazima Magu ajitayarishe kulipa mishahara ya serikali ya Zanzibar kuanzia mshahara wa sheni na wafanyakazi wake wote zanzibar nzima na pia kuhakikisha huduma zote na miradi ipo uptodate bila ya kusahau baraza la wawakilishi,kazi tu.
Hatumtupi Shein Gavana wetu.
 
wakati fulani nilifika Zanzibar kwa mkutano fulani daah! sasa nikakodi gari (self-drive) daah ghafla nikakamatwa na trafiki wa huko eti wanadai leseni yangu ya huku Tanganyika haitumiki kule kwao nikitaka lazima nipate kibali maalum huko Zenji. Asee hawa watu hawa!
 
Zanzibar haina vitega uchumi vingi kama tanganyika.. hivyo mheshimiwa awe anawasaidia kwenye bajeti yao... na lile deni la tanesco la bilion 100+ wasamehewe. Uchumi wa zanzibar umedorora sasa hivi.
 
Kusema Sheni ana ubavu wa kuendesha serikali na kuweza kuhudumia nchi itakuwa kujikaza kisabuni,sasa ni lazima Magu ajitayarishe kulipa mishahara ya serikali ya Zanzibar kuanzia mshahara wa sheni na wafanyakazi wake wote zanzibar nzima na pia kuhakikisha huduma zote na miradi ipo uptodate bila ya kusahau baraza la wawakilishi,kazi tu.
Zanzibar ni mahodari wa Umbea, visa, majungu, fitna na UGAIDI. Hawajui hata kuiongoza nchi yao wenyewe. Serikali yao imewekwa na Bara. Tena kikao kilifanyikia Dodomaaaaa! Wakawekewa Shein na ndo biashara ikaisha. Kodi zetu zitaendelea kulipa mishahara ya Wakwezi na Wavuvi wa Zanzibar
 
Zanzibar haina vitega uchumi vingi kama tanganyika.. hivyo mheshimiwa awe anawasaidia kwenye bajeti yao... na lile deni la tanesco la bilion 100+ wasamehewe. Uchumi wa zanzibar umedorora sasa hivi.
Nyumba ndogo au ?
 
Back
Top Bottom