falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,186
- 9,287
Kwa jinsi hali ilivyo ni dhahiri kabisa kabisa hadi sasa wengi wanaotumbuliwa majipu ni CCM wenyewe, hivyo basi nauona ukomo wa Magufuli kuandamwa na visasi kutoka kwa wana CCM wenzie ambao wengi walitumbuliwa majipu na Magufuli, hivyo basi ili Magufuli Pinda utakapo staafu 2020 waachie nchi UKAWA ili ujiepushe na kuandamwa toka kwa wanalumumba.