Magufuli ungetaka nchi Isimame, Waitara angekuwa waziri wa Mambo ya Ndani ,

nchonga aliyebaki

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
573
823
Mi bado nadhani kwa Lugola ulikosea kabisa kabisa, nafasi ile haiwezi kabisaa

Mwita Mwikwabe Waitara ndo ungempa hiyo leo, alafu Lugola ukampiga chini
 
Mi bado nadhani kwa Lugola ulikosea kabisa kabisa, nafasi ile haiwezi kabisaa

Mwita Mwikwabe Waitara ndo ungempa hiyo leo, alafu Lugola ukampiga chini
lugola bado hajaonesha failure au weakness kubwa kiasi cha kudisqualify kuibeba dhamana ya wizara hiyo,ni mtu ambae hadi saiz anaonekana kuwa bora mahala pale,ww fanya tu kuteua baraza la mawaziri la kwako na ukoo wako umpe mambo ya ndani huyo unaemtaka,actually sio lazma mtazamo wako uendane na wa rais
 
Back
Top Bottom