Magufuli umekosea kuwapa wachina ujenzi Bagamoyo. Bandari na jeshi ni strategic, economic and security move

Wajerumani wanajenga mbuga zetu, na kuhusu Wachina usimlaumu Uncle Magu mlaumu nyerere kwani hakuna anaejua yeye na Mao walisaini Tanzania itakuwa chini ya Influence ya China kwa miaka mingapi so tegemea zaidi kutoka kwao mtoa mada ningependa nikuhakikishie hili.
Hili wazo ni bure kabisa, eti Nyerere alitukabidhi kwa Mao? This post is very silly and it's a reflection of shallow thinking on the part of the author.
 
Back
Top Bottom