Magufuli tutakufa mtaani jamani mbona hutupi ajira tu

Kama kichwa tajwa hapo juu.

Mzee baba MAGU mtaani sio kuzuri kabisa aiseee saidia vijana wako tupate angalau pa kukusifia kwa wazee wetu miaka kenda sasa tunatapatapa mtaani bachelor zetu hazina hata maana kwenye jamii, utatupa lini AJIRA ?
Jisajili na ajira portal kupitia www.ajira.go.tz ajira kila mwezi zinatangazwa
 
Huwezi kukaa nyumbani ukisunili ajira kiongozi

Nakupa mbinu jaribu kutafuta kazi ya kujishkiza hata yenye kipato cha 20,000 najua mwanzo ni mgumu!
Usiangalie kuhusu elimu yako

Huku ukitafuta ajira yako ya kudumu!
 
Hata hyo kuipata ni ngumu
Huwezi kukaa nyumbani ukisunili ajira kiongozi

Nakupa mbinu jaribu kutafuta kazi ya kujishkiza hata yenye kipato cha 20,000 najua mwanzo ni mgumu!
Usiangalie kuhusu elimu yako

Huku ukitafuta ajira yako ya kudumu!
 
inabidi tuu uuambie moyo wako kua , "hatunywi sumuu, hatuji- nyongiiiii..."
 
Kama kichwa tajwa hapo juu.

Mzee baba MAGU mtaani sio kuzuri kabisa aiseee saidia vijana wako tupate angalau pa kukusifia kwa wazee wetu miaka kenda sasa tunatapatapa mtaani bachelor zetu hazina hata maana kwenye jamii, utatupa lini AJIRA ?

Mtaani cyo kuzuri ? Sasa unataka kwenda jela/gerezani au???
Kumbuka ya kwamba "ukitaka kuishi maisha ya furaha na amani siku zote, daima wekeza maisha yako kwenye KAZI, usiwekeze maisha na uhai wako kwenye AJIRA", utapata taabu sana ndugu yangu.
Tafuta kazi au shughuli za kufanya za kujipatia kipato kidogo kidogo, usichague kazi ya kufanya eti kwa sababu una Bachelor ya chuo kikuu. Tafuta hata kazi za kujitolea ili kupata uzoefu, bachelor ni nini, kuna watu wana Master's degree lakini pia wapo hawajaajiriwa, sembuse wewe na hiyo degree yako?
Pia kumbuka, " kupata kazi nyingine au ajira ukiwa ndani ya kazi ni rahisi zaidi kuliko ukiwa nje ya kazi au ajira"
 
Huwezi kukaa nyumbani ukisunili ajira kiongozi
Nakupa mbinu jaribu kutafuta kazi ya kujishkiza hata yenye kipato cha 20,000 najua mwanzo ni mgumu!
Usiangalie kuhusu elimu yako
Huku ukitafuta ajira yako ya kudumu!
tupo tunakomaa na mia mbili mia mbili sio haba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom