mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,276
- 12,335
Tumekuwa na Rais mjanja sana. Jana akiwa singida alitaja miradi mingi ya 2013-2015 kama sehemu ya mafanikio yake
Sasa ili nirudishe imani kwake angefanya yafuatayo:
1. Atoe orodha ya majina ya vituo vya afya 487 alivyojenga nchi hii
2. Sekta na mgawanyo wa ajira 6M
3. Barabara na urefu wake kila wilaya
4. Shule alizojenga na kila halmashauri zilipo?
Hayo yamekuja baada ya kusikia Singida kajenga vituo vya afya 15 ambavyo siamuini kama vipo